queen darleen - touch lyrics
verse 1
basi gusa changu kiuno
nami nitulie
bila mfupa nnavyokata
lazima usimulie
weka nukta shika hapa
na mimi niugulie
kama guta sema popote
mwenzako niikalie
bridge
naitakasa nafsi na roho darling
we ndoo yangu khabari
kwa wengine sina habari
umenionjesha asali
nimewaka ka kibatali
uno hadi juu ya dali
niongoze nkuhonge ka gari
kandamiza huo msumari
chorus
me napenda ukinishikagaa (enhee)
unanitouch touch touch (enhee)
unanimaliza (enhee)
sema nikushike wapi (enhee)
me napenda ukinishikagaa (enhee)
unanitouch touch touch (enhee)
unanimaliza (enhee)
sema nikushike wapi (enhee)
verse 2
kwako nimekuwa zuzu
tena siwezi ganduka
sijui umenipa juju
nikikuona napandwa mizuka
me nasema waziwazi
mwenye wake aje amchukue
utamu wa wali n-z-
nasema vya ndani usisimulie
meli imeweka nanga
me ndio wake mahabuba
siendi kwa mganga
sijawahi k-mloga
bridge
naitakasa nafsi na roho darling
we ndo yangu khabari
kwa wengine sina habari
umenionjesha asali
nimewaka ka kibatali
uno hadi juu ya dali
niongoze nkuhonge ka gari
kandamiza huo msumari
chorus
me napenda ukinishikagaa (enhee)
unanitouch touch touch (enhee)
unanimaliza (enhee)
sema nikushike wapi (enhee)
me napenda ukinishikagaa (enhee)
unanitouch touch touch (enhee)
unanimaliza (enhee)
sema nikushike wapi (enhee)
outro
baby uutamu kolea (utamu)
utamu kolea (nimenogewa)
uutamu kolea (yani tamu sana)
utamu kolea
hasa baby niongeze (utamu kolea)
nishike na hapa (utamu kolea)
na kajicho nilegeze (utamu kolea)
nikanyage kama rapa (utamu kolea)
Random Lyrics
- malía - simple things lyrics
- 關淑怡 - 心箭 lyrics
- jhony kaze - alles was zählt lyrics
- noel gallagher's high flying birds - if love is the law lyrics
- משתתפי סטורי של פסטיגל - אגדה מעכשיו lyrics
- cole swindell - roller coaster lyrics
- барбарики - у друзей нет выходных lyrics
- slum sociable - treated like the weather lyrics
- bakudan johnny - real wind lyrics
- unha pintada - coisa de ex lyrics