quidado - haya we lyrics
Loading...
[verse]
umekwa kama popo
usiku haulali
unakesha na makopo
mapenzi yetu haujali
penzi lako la utoto
unanipa mtihani
umezidisha mikogo
wanakuita hayawani
majirani wanahoji tabia zako ila hukomi
chonde chonde jitazame usoni
[bridge]
ukisema nivumilie unanipaka matope penzi lako niogope mbona we mapepe heeeeey
[chorus]
haya we
jikute una shobo
watokana vigogo watakupiga zongo
hee hehee
jikute una shobo wotokana vigogo watakupiga zongo hee iiyaaa
verse2
baby yooh mwenzio naumia unanifanya nikonde hee eeh
mtihani yeeh unayonipatia bora uondokee hee eeeh
umenipanda kichwani
umenifanya hayawani
nach0r-ka masikani
sina dhamani
Random Lyrics
- blvc svnd - dog off the leash lyrics
- sidewalk prophets - it's good (love's not safe) lyrics
- stefan andersson - let's take a walk lyrics
- cole swindell - both sides of mississippi lyrics
- ginny owens - fellow traveler lyrics
- cimorelli - minefield lyrics
- chris travis - day one (freestyle) lyrics
- rhiff - omnipresentes lyrics
- carpe tenebrum - the abyss's mystic haze lyrics
- kirsten arian - heartbeat lyrics