raj (kenya) - wacha nikule lyrics
wacha nikule lyrics
wacha me nikule
wacha me nikule kule
wacha me nikule
wacha me nikule kule
yeah
tafadhali usibargain
nimechoka beba baggage
hii kazi ni ya courage
vile nina manage mimi ni hatari
na sijui tofauti hii na juakali
i was tryna get it get it get it toka mbali
buda checki hali, vitu bei ghali
me nataka champagne sitaki makali
checki kila siku tuko stu’ hatulali
omba mungu, anipe mavuno
si madem wanatingisha viuno
kila wiki tunatoka na midundo
wana tu vitambi ona letu umbo
wako luke warm sisi tuko true form
wako blogs kila siku na vituko
nimestudy for a minute me ni book worm
toka njiani tafadhali usiwe loop hole
wako luke warm sisi tuko true form
wako blogs kila siku na vituko
nimestudy for a minute me ni book worm
toka njiani tafadhali…
wacha me nikule
wacha me nikule kule
wacha me nikule
wacha me nikule kule
wakiniona wanapiga tu makofi
nikichimba nin#z#ka tu macoffin
niko high bila morphin
chini ya maji dolphin
tellem i was hopin
they can never copy
twenty six still im on the roll, yeah
tell em they can never get involved, yeah
funga macho bado niko woke, yeah
kila time tryna get the dough, yeah
fix you up boy lemme break it down
chew dem up before they simmer now
millionaire before december now
cut the lame wakikuleta down
juu
wako luke warm sisi tuko true form
wako blogs kila siku na vituko
nimestudy for a minute me ni book worm
toka njiani tafadhali usiwe loop hole
wako luke warm sisi tuko true form
wako blogs kila siku na vituko
nimestudy for a minute me ni book worm
toka njiani tafadhali usiwe..
wacha me nikule
wacha me nikule kule
wacha me nikule
wacha me nikule kule
Random Lyrics
- sagaz - bem melhor (part. sest e koy) lyrics
- the eternal daydream - never going back again lyrics
- soy luna - modo amar lyrics
- the family jams - if i had a million dollars lyrics
- hazhe - demasiado complicado lyrics
- monita tahalea - sayonara lyrics
- st. elmo x fasola - chmury lyrics
- zavet - выключили свет (turned off the light) lyrics
- eshs - caller 21 lyrics
- gigante - il mare come sta lyrics