azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rajville - gongeka lyrics

Loading...

raj

dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe tutaongeza
ongeza
dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe ongeza
mh ongeza

joefes

dame yako anataka nyongesa
ukileta monkey nyongeka
murder she bought hii ni vendetta
alikula fare nikamwahi ngeta
she knows how to ride nimewahi ngata
dame yako bash usiwahi mleta
kaa hudai calls za see you later
namteka na ngoma ya major lazer
alilia ka mtoi nikawahi razor
playlist huanza na ayo lizer
pillow talk alisema huna pesa
dame yako huh, atagongeka
raj

dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe tutaongeza
ongeza
damе wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe ongеza
mh ongeza

banana noraita
kama ni club lets go later
proof sisi, ni fighters
wakituona kiss, they eye us
kopo la maji upewe
come tu na pombe tulewe
hapa nina dem ana nyege
tena kisii ana nyegeria
ngoyu ogietema the kid
nina keys
in the biz, i been a beast in the east
ceaze and desist
sisi ndo si
sina peace in the city
i p+ss in the kitty
napenda dem anacome na maziggy
tuki jiggy jiggy , mimi sitishiki
tena sishikiki, mbio pikipiki
me hu go down tena ni liki liki
tryna get a meal buda checki hii ni tiz
hapa tuko stu buda cheki niko busy..
raj

dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe tutaongeza
ongeza
dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe ongeza
mh ongeza

fathermoh

haukunywi pombe, home!
hauna hadi tattoo, home!
haupendi smocha za klabu, home!
haujui hadi mathe wa ngara, home!
ndindi ni lini madem hukuboo
ni mimi hula bila kijiko
hivi ndivo dame yako leo mlo
ako na forehead hajui kupeana b

raj

dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe tutaongeza
ongeza
dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe ongeza
mh ongeza
iphoolish

me huichapa hadi ngeus anipongeza
warning akinipea me ninakesha
na perform hadi adai kuniwai pesa
niko na mbogi first class we uko ka lesser
akuna ngeus me amewahi kunipea pressure
wakiniona kazi tu kuniomba pesa
naivasha vacation me hutesa
me hukuanga kila place kama m+pesa
sitembeangi na cash tu ni m+pesa
si ukinionanga kwa tv nakaa pesa

raj

dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe tutaongeza
ongeza
dame wako atagongeka
atagongeka
ka ni pombe ongeza
mh ongeza



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...