azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rama dee - asante mama lyrics

Loading...

[intro]
nawe na simama
nawe na simama, ma
nawe na simama
na wewe mama
na wewe mama

[verse 1]
umenifanya niwe imara
umenilinda kwenye madhara
uliye nifundisha wema
ni wewe mama
ni wewe mama
umenionesha dunia
wewe ni nuru maishani mw+ngu
umeniangazia njia
asante mama
asante mama

[pre+chorus]
nawe na simama
nawe na simama, ma
nawe na simama
na wewe mama
na wewe mama
[verse 2]
mabaya yote uliya vaa (dah!)
kuficha aibu ya mwanao
kati ya wote, nnaekuweka juu
ni wewe mama
asante sana
malezi yako ni shule
sina la zaidi, nikuombee, eh
popote mungu awe nawe
akutetee, mmm

[chorus]
nawe na simama (kwa lolote nawe)
nawe na simama, ma (nasimama)
nawe na simama (ooh)
na wewe mama, (mama)
na wewe mama

[post+chorus]
nawe na simama
nawe na simama, ma (oh)
nawe na simama
na wewe mama
na wewe mama

(instrumentals)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...