azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rama dee - furaha yetu lyrics

Loading...

(instrumentals)

[intro]
mmm,mm
mmm
[?]
mmm

[verse 1]
furaha yako weh
furaha yangu moyoni
furaha yako weh
tabasamu usoni
epuka mashari, na ‘be happy, kipenzi
hii ndio love, tu+enjoy, hey
ukichoka hapa, twende mbali kwa safari
ma holiday ilete kwetu ma smile

[pre+chorus]
tabasamu, weh, eh+eh
hasira sumu, na [?]
waringie, eh+eh
thamani yako ni taa
oh, ooh

[chorus]
(furaha)
tuwe [?]
furaha
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
(furaha)
tuwe [?]
(furaha)
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
[verse 2]
ka una muda leo tufurahi

amini, zawadi kubwa kwetu ni uhai
kununa, nuna, hakufai
sahau ya jana, furahia leo
tuongeze life

[bridge]
be happy, baby (hey)
upo kwenye njia ya pekee kwenda [?]
be happy, baby (hey)
upo kwenye njia ya pekee kwenda [?]

[pre+chorus]
tabasamu, weh, eh+eh
hasira sumu, na [?]
waringie, eh+eh
thamani yako ni taa
oh, ooh

[chorus]
(furaha)
tuwe [?]
furaha
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
(furaha)
tuwe [?]
(furaha)
tuishi kwa
(furaha)
tucheze kwa
(furaha)
furaha, furaha
[outro]
zawadi kubwa kwetu ni uhai
kununa, nuna, hakufai
sahau ya jana, furahia leo
tuongeze life



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...