
rama dee - kipenda roho (dance remix) lyrics
[intro]
(and the+)
[verse 1]
mw+nga umefanya watuone, wakosoe
ni somo tu
chombo kwenye maji lake jua
yake mvua, safari tu
ooh
kwenye mvua, ‘matope, sio ndumba, oh
yasikufanye uchoke
mchumba, oh
wanapanga maneno kama chati za k+mi bora
kuupima upendo ni hatari
[chorus]
mbele tunaona vita
kipenda roho, roho yangu
nishike mkono kuyapita
kipenda roho, roho yangu
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
[verse 2]
ukitazama malengo, haukosei
haupotei, ‘kwenye love
wema uishi nao, sweet my love
ahadi ya wawili kuitunza siri
chunga mbuzi hanuki
hizi stori
si za kweli, baby
angalau tone moja liende
mimi na pеnzi, sitaraji
[chorus]
mbele tunaona vita
kipenda roho, roho yangu
nishikе mkono kuyapita
kipenda roho, roho yangu
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
[bridge]
for the first time, kusikia amani, ndani ya maisha yangu
you’re my angel
tusimame, baby
[post+chorus]
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
(tusimame, baby)
tulishinde lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lengo, lao, lao
lisitimie
[za?]
(tulishinde lengo, lao, lao)
(lao, lao)
lao, lao
(lao, lao, lisitimie)
tulichopanga, baby
(lao, lao)
mimi nawe
(lao, lao)
oh, no
(lao, lao, lisitimie)
[outro]
chunga mbuzi hanuki
hizi stori
si za kweli, baby
Random Lyrics
- your arms are my cocoon - muffled beneath the sound of the ocean (live) lyrics
- triceratops - vertigo lyrics
- edenergy - танец теней (dance of shadows) lyrics
- kamuran akkor - yorgun gözler lyrics
- chinko the prophet - can you believe me? / verbal machine gun lyrics
- annette peacock - safe lyrics
- duce williams - heart of gold lyrics
- wolfram & josh ludlow - yoyo disco (purple disco machine remix) lyrics
- el ray - down home girl lyrics
- the thought - know your heart lyrics