rama dee - kuwa na subira lyrics
[intro: rama dee]
oooh
oooh
oooh
oooh
oooh
utaambiwa sina mapenzi
mmm, mmh
c’mon
hey
[verse 1]
utaambiwa sina mapenzi
utaambiwa si mwaminifu mi
utaambiwa sina ubinadamu
kwenye mapenzi…
utaambiwa sina umuhimu kwako
style yangu si kuoa
ni ku+cheat mademu ’si kweli mpenzi
utaambiwa…
sina mapenzi
oh, oh
[chorus]
jitahidi mpenzi
kuwa na subira
jitahidi mpenzi
kuwa na maamuzi
(true, true)
juu ya penzi [le]
pendo letu
juu ya penzi [le]
pendo letu
[verse 2]
hebu chukuwa maamuzi (yap)
we mjuzi, ‘mkufunzi (mm+mh)
acha hizo, ‘ni makuzi, upuzi
jinsi naishi ni ka staa kwenye movie
tumesha+share, ukikataa ni mzushi
tukae chini ’ni balaa, ni uvumi
chuki tuliikataa, inayumbisha hadi uchumi
hebu k+mbuka furaha
na vitu vya msingi
madaha na majigambo
vitairudisha ligi
(yes)
ukaambiwa mimi nipo tu hapa mtaani
na ganga, ganga tu njaa
ukaambiwa mi muhuni
sina kazi, mama
kila nnacho panga, nnalo fanya
juu yako mpenzi
kila ninalo panga
ninalo [?]
juu yako…
yeah
[chorus]
jitahidi mpenzi (jitahidi, jitahidi)
kuwa na subira (kuwa na subira)
jitahidi mpenzi
kuwa na maamuzi (maamuzi, mpenzi)
(true, true)
juu ya penzi [le]
(oh)
pendo letu (pendo letu, mama)
juu ya penzi [le]
(yeah)
pendo letu
(uh, yeah)
maujanja supply
[?]
nasisitiza msimamo
usiyumbishwe na maneno
watu wengine wanaongea
midomo yao michafu (sana)
ukanihuk+mu, ukaniona ‘kama mimi ni kavu
na malengo juu yako ‘mimi si mpumbavu
upendo wa dhati, sitoonesha dharau
sikudanganyi ‘mi nataka ufahamu (yeah)
mapenzi ya kweli jua uongo ni hatari
acha tuwe na amani, ma whack achana nao
(yes)
wayo, wayo, wayo
wayo, wayo…
jitahidi mpenzi
(wayo, wayo, wayo
wayo, wayo…)
c’mon ishi na mimi
(wayo, wayo, wayo
wayo, wayo…)
[drop]
juu yako
[chorus]
jitahidi mpenzi (jitahidi)
kuwa na subira
jitahidi mpenzi (kuwa na subira)
kuwa na maamuzi (maamuzi, mpenzi)
juu ya penzi [le]
(oh)
pendo letu (pendo letu, mama)
juu ya penzi [le]
(siri zetu)
pendo letu
[drop]
Random Lyrics
- l'araignée au plafond - mox lyrics
- hadassah vincent barucabamusic global network - you've saved us lyrics
- side saddle - all my days lyrics
- pilo placentine - никогда (never) lyrics
- indie tribe - blame ace freestyle lyrics
- big dawgs - mosey lyrics
- steve bell - waiting for aiden (symphony sessions) lyrics
- queen - bohemian rhapsody 7 minutes extended lyrics
- ynkeumalice - shiesty my heart lyrics
- bnj - se nos daba lyrics