azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rama dee - najielezea lyrics

Loading...

[intro]
we+we, we, ndio my passion, dada
we+we, we, ndio my sweet, my lover
we+we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
[?]

[verse 1]
mi sikatai mapenzi yangu yapo kwako hiyo ni sawa
na nnachokupa baada ya muda, mbona chaota mbawa?
you know i’m in love, ‘nafika, mi kwako sina mbawa
madhaifu yako nabeba, si uchafu, siwezi nawa

[pre+chorus]
venye unataka, ‘it’s okay
as long as my heart is open
tusirudi nyuma, tusonge
i’mma ‘drunk in love, in your love, yeah

[bridge]
we+we, we, ndio my passion, dada
we+we, we, ndio my sweet, my lover
we+we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
oh, nai

[chorus]
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
najisikia kama
najielezea
(najielеzea)
(sana kwako)
[verse 2]
mambo mengine ni wazi
don’t hidе things
najielezea sana, yes i see
kwa mapendo, nakupenda ‘yes, that’s real
ooh, ooh
you’re my sweet potato, wala sihisi mateso
sio hii leo wala kesho
(hii leo wala kesho)

[pre+chorus]
venye unataka, ‘it’s okay
as long as my heart is open
tusirudi nyuma, tusonge
i’mma ‘drunk in love, in your love, yeah

[bridge]
we+we, we, ndio my passion, dada
we+we, we, ndio my sweet, my lover
we+we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha
oh, nai

[chorus]
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
najisikia kama
najielezea
(najielezea)
(sana kwako)
[outro]
we+we, we, ndio my passion, dada
we+we, we, ndio my sweet, my lover
we+we, we, hata ukiwa mchachu ni ladha



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...