azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rama dee - usihofie wachaga lyrics

Loading...

[intro]
sioni
hatari mbele ya penzi letu
(ooh, ooh)
(and the+)

[verse 1]
pendo letu
lifike mbali
ooh, baby
tulinde love
(kupendana)
waepuke mashosti wote
wasio na maana

[verse 2]
hapa duniani
wabaya wamezidi nguvu wazuri, mpenzi
(mpenzi)
hata manabii
walipigwa mawe usoni
moyoni haikuathiri
(penzi)

[chorus]
usihofie colour, ‘gizani, mw+nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga,’wahaya, mama
upendo hauchagui kabila
[pre+chorus]
hatari, mola atuepue
baraka, mola atushushie
(na+na+na+na, na+na+na+na)
maudhi yasitupitie
furaha kubwa ituingie
(na+na+na+na, na+na+na+na)

[bridge]
mwana mosi, eh
mwana mosi
mwana mosi, eh
mwana mosi

[verse 3]
nisimulie
hadithi nzuri zenye muendelezo
za mahaba
nifarijike
nik+mbatie
ukihisi msongo wa mawazo
nitakushusha presha iwe normal

[verse 4]
kwani, kuelewana
kushikamana
kuridhiana
ndio nguzo imara
tuеpushe utata
nasi tufike tommorow
hivyo ndivyo love
usionе watu wakiishi kwa furaha
wamefungua kurasa
(baby)
[chorus]
usihofie colour, ‘gizani, mw+nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga, ‘wahaya, mama
upendo hauchagui kabila

[pre+chorus]
hatari, mola atuepue
baraka, mola atushushie
na+na+na+na (pendo letu)
na+na+na+na (oh, love)
maudhi yasitupitie (mimi nawe)
furaha kubwa ituingie
na+na+na+na (?)
na+na+na+na
(baraka na+)
hatari, mola atuepue
(penzi letu)
baraka, mola atushushie
(heri yetu, hey…)
na+na+na+na
na+na+na+na
(na baraka)
maudhi yasitupitie
(kwenye nuru yetu)
furaha kubwa ituingie
(heri yetu, baby)
na+na+na+na
(ooh)
na+na+na+na
(nah…)
[outro]
usihofie colour, ‘gizani, mw+nga
i love you
baby, mi ndio taa
usihofie wachaga, wahaya, mama
upendo hauchagui kabila

(instrumentals)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...