rapcha ft young lunya & dwin - unaua vibe lyrics
verse 1 rapcha
gachi waonesheee
last king of 90’s baby
so nkamuomba one night stand (yeyeeah)
ila ku+date, mambo ya kuchunana mi spendi
manzi kagida bapa dry bila glass
kakataa room “tukamalizane kwenye nyasi” (uuuuhh)
demu wa pili nlimuona anajichetua (yeyeeh)
kizungu kingi nkaona huyu wakishua (yeyeeah)
nikamchanganyia tungi akajaa
ile kulewa tu akaanza kutapika dagaa (uuuuuuh)
demu wa tatu nlimuona ametoka chicha (yeyeaah)
akanikosha mbaya nkasema hang’oki hapa amekwisha (yeaah yeaah)
nkampiga sound nkamvuta getto, ile kutoa wigi tu ana bonge la ngeu kwenye kichwa (uuuuuuh)
aisee unaua vibe!! unaua!!
unaua vibe , unanikata stimu
unaua vibe!! unaua!!
unaua vibe
unanikata stim!!
verse 2 young lunya
(oh my)
unajua wale wana wakupakazia
wanakuaga na tabia flani sio za kuaminia
anadai ameikata pisi hadi inachuchumia
pisi full inamlilia k+mbe hata busu hajaambulia
unaua vibe babu.. unaleta hisia
mapenzi ya huruma huruma yapo kwеnye tamthiliya
chumba umelipia ,msosi umelipia hadi mchеzo umelipia halafu unapangiwa pa k+mwagia
juzi mwanao kateka shpapi ya kuokota
mitaa flani ya kati , kino hapo kwa mwanamboka
pisi ikataka kulipwa povu linamtoka
mwana kachimba na shuka mara pwaah likadondoka
chorus
aisee unaua vibe .. unaua
unaua vibe unanikata stimu
unaua vibe unaua..
unaua vibe , unanikata stimu
unaua vibe unaua.. eh!
unaua vibe unanikata stimu
verse 3 dwin
juzi kati nilitoka sjui saa ngapi
ninachok+mbuka nilmkuta kwenye party
zama room chapu chapu mi si nnataka mikasi
nikaskia unapiga vingapi? na mf+koni una sh ngapi?
kutana na mtoto ana nane figure
smoking hot kama amenyonga wida
samahani ma i’m sick halafu we ndio tiba
kuwaonesha wana picha si wote walishapiga
kuna wana wana mishe za kise+++
gambe anagongea halafu +n+lewa tu mawenge
yani pisi kali hivi hivi tu upitishe wembe
yani huna pesa huna gari halafu tu akupende!?
chorus
outro!!
ametinga kinoma, mwache acheze ajimwage
tinga kinoma, dj tena idondoshe..
Random Lyrics
- kelly d'angelo and matt dahan - take on the world togther (demo) lyrics
- ingrid eggen vårvik - om lyrics
- sujeito - mcnk - novos tempos lyrics
- syzzors - rain lyrics
- pitagoras - dime tú lyrics
- sofia - тайни истини lyrics
- gdjyb 雞蛋蒸肉餅 - 同黨 (tung4 dong2) (簡體字/simplified characters) lyrics
- children of reagan - beat you down lyrics
- dan the man - muscle memory lyrics
- akkobi - küchengerät rap challenge lyrics