azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rapcha - don’t play this song lyrics

Loading...

[verse 1]

smoking everyday hoping i will die sober

wallet haijashiba and na nna get much older

dunia haina mwenyewe so kataa uoga

all ass kissers don’t play this song

straight up

success haiwi overnight

ndoto niliyonayo kubwa ila i’m sure haiko oversize

ingawa huu ni mziki wa kidunia hata huyo
shetani asingeweza rap hivi, on god

ndoto yangu kubwa kabla ya kutamani nyumba na magari nlitamani kuiona mbingu

mungu akanibariki vingi zaidi ya nyumba na magari na akafanya nkiwa duniani nikaiona mbingu

safina ikirudi mara ya pili sijui kama hata ntapata nafasi

wenye nafasi wamejaa ubinafsi
binafsi wanangu ntawak+mbusha kila asubuhi

wasitumie pesa kutafuta vitu ambavyo pesa hainunui

iwe normal tu kusema hapana

tena of course tunaingia sana hasara kwa kukwepa lawama

tena mostly kwa kufurahisha wana

so ukiona sijawahi kuku’impress don’t play this song

cosmas p

kila nilichokosa shule nakipata kwenye kila conversation na p

nikihema juu ya beat ni hit

ukali w+ngu upo kwenye ngoma zangu ambazo huzizingatii

[chorus: leysir brown]

sina time ya mchezo mr devil leo haunipati

sitaki kujieleza, sina tena mpango wa kupoteza wakati
macho kwenye pay i’m on a mission

bado siwezi relax

macho kwenye pay

mishe mishe ziko macho day and night

uuuh uuh

uuhh uuh

uuuh uuh

uuhh uuh

[verse 2]

mvp kwenye pitch i’m a real star

sense in everything i spit kwenye each bar

‘ucking this game na style zote linakaa

hawa polisi hawaleti peace wanatunyima raha
niwe faraja kwenye vilio

mi sihitaji kuwa maarufu nahitaji tu dunia nzima inipe sikio

so ukihisi mfoy anatafuta ustaa social media wala usipoteze mb don’t play this song

na ntapiga billion streams muda ambao wote mtapagawa

mkiwa busy kuwalea machawa

busy mkijiuliza tu kwanini wasanii hawapatani

wakati swali linatoka kwa wanaowagawa

hamna power

mziki umechange my story

sitosahau siku father p ananipa deal ya over 20 milli

kila siku mpya naongezeka akili sio mwili

big shoutout whoever play my songs

nnavyozidi kwenda juu n+z+di kuwa mpweke tu

sometimes nacheka mbele ya camera tu

sometimes huwa nacheka ili tu nifiche yanayonisibu

but only god knows what i’m going thru

drinking everyday, hoping i will die sober

iwe normal tu kusema sitaki

binafsi wanangu ntawak+mbusha kila asubuhi
wasitumie pesa kutafuta vitu ambavyo pesa hainunui

[hook: rapcha]

winning everything i win i win i win

win i win i win i win win i win

i win i win i win i win i win i win i win



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...