rapcha - goo lyrics
kwa heshima ya getto
nyoosha ngumi juu onetime
(yes) up up up
breaking news kituo cha polisi kimevamiwa
(yes) up up up
(say whaaaat)
verse 1
roho safi ya kirasta
lifestyle flani toka westside ya ki+gangsta
ndoto ndio zimenitoa mtaani (bless up)
i’m sorry mama kabla ya gari ntanunua gun (alright)
mchizi tokea shytown
nikakutana na microphone
inspired na babastylez, coweezy na babilon (alright)
ka ulifunzwa na mamaako ukaleta ubishi
walimwengu hatuhitaji ada kuku+teach (no way)
tamaa zinatoa roho
ijia ulichofata hapa town then stick kwenye plan
na ukikosa self control
life inakuficha, ficha.. whooah!
young star, rap star
king sh+t
rasta
man i love this game
nikiwasha mziki unafika kila sehemu
na still wan+z+mika na lifestyle (ooi)
chorus
eeee oooooww
hauwezi kunitoa kwenye mission
eeeeeeeehh oowww
huna la kufanya usitutishe
go rapcha! go rapcha! go! go! go rapcha
leta pesa ndo nikinukishe
go rapcha! go rapcha! go! go! go! rapcha!
last king of 90’s baby
verse 2
street life codes kwenye hustle
hujui nani ataku+save fanya uishi peace na wenzako
maana haya maisha kama taulo lako
sehemu inayofuta uso jioni asubuhi ilifuta tako
ukiwa na pesa baba pisi hazinuni
boss kagandwa na chawa afu hajikuni
usijikanyage ukiwa chaka na wahuni
jikute una sura mbaya afu hujui ngumi (mxieeew)
kabla ya music ilibaki kidogo niwe priest
ila mchongo ukawa tough sikufichi
boooom! nkaanza kutamani vidada vibichi
nkachaf+kwa nkaanza kuvipelekea 6 inches
so nafanya for the culture
i came a long way siwezi kacha
hii struggle from streets mpaka niwe rockstar
till the day i go down
bongo ita+sing my name
so pay respect whenever you hear ma name
young star, rap star
king sh+t
rasta
man i love this game
nikiwasha mziki unafika kila sehemu
na still wan+z+mika na lifestyle (ooi)
chorus
eeee oooooww
hauwezi kunitoa kwenye mission
eeeeeeeehh oowww
huna la kufanya usitutishe
go rapcha! go rapcha! go! go! go rapcha
leta pesa ndo nikinukishe
go rapcha! go rapcha! go! go! go! rapcha!
last king of 90’s baby
Random Lyrics
- hozwal - tu la tienes* lyrics
- jazz the man - champagne poetry (drake cover) lyrics
- chill mafia records - barkhatu lyrics
- sick sad saturdays - tap into treason lyrics
- rami buxaplenty - sunrise lyrics
- sxr - qatal lyrics
- mc rick - vamo fechar bebê lyrics
- leeched - harrow the pastures lyrics
- the great luke ski - my name is al bundy lyrics
- axe maniac - becoming a bog lyrics