rapcha - melody lyrics
na hii baridi ningekuwa na ye
ningemk+mbatia nkimwimbia nyimbo nzuri za mapenzi all day
nimueleze kuwa maisha yangu yote yaliyobakia kwenye hii dunia ningependa niishi na ye
na hii baridi i would like you to hold me
tell me unanifeel na sio kuniletea story
kila kitu unacho we you control me
niambie the way you feel, baby boy mi i’m on it
na hii baridi tungewatch movie
ndani ya dakika ghafla tuko naked kinawaka like a movie
tukiwa high kwenye good doobie
champagne we sip and kiss
hot water kwa jacuzzi
na hii baridi yani i can’t explain
mi mtu wa misele ila kwa hii mvua ningekaa ndani ntulie
nimpikie kisha nimpakulie
nile nishibе alafu nguvu zangu zote kwake nikammalizie
na timе hii ningemfanya shuka
nimfunike nikimpapasa body yake mpaka kunakucha
nimpanguse kama taulo kuanzia chini hadi juu
nimpitishe ulimi mwili mzima ka namchora tatoo
bridge
kwake sikufall in love
nili+rise juu
hata ka ni gangsta kwake nitakua romantic tu
and i ain’t for the low package
nmechagua kuishi nae kwa mazuri na mabaya yake
chorus
hey baby
unanitesa daily
kichwani kw+ngu kama melody baby
nahofia nkikukosa maana
we ndio unanikosha
oh no!
pa pa mpararaampa
pa pa pa mpa mpa mpararampampa
verse two!
nawaza kama kuna life after death basi nothing can do us apart
sounds like a wedding vow, i like that
kita..
stop!!
tungezima taa
alafu uride fasta kama vile break imekataa
kukuwaza tu napatwa goosebumps
babe haya mambo ya kugombana sio
k+mbuk+mbu yananirudia matukio ya hapa ndani tunavyoshindaga zaidi ya siku tatu bila nguo
i think i miss you
a little bit jealous nawaza ka uko na mi tu
should i tex you!? nah nitaku+mind tugombane tu
i think i’m not the only one you’ve been dealing with
but im sure we can fix this
nitaacha ego nimpigie nimwambie nimemmiss
maana siku itaisha vipi sijaongea nae
sijaona cha kunieka mbali nae
kwake siku+fall in love
nili+rise juu
hata ka ni gangsta
kwake nitakua romantic tu
and i ain’t for the low package
nimechagua kuishi naye kwa mazuri na mabaya yake
chorus
hey baby
unanitesa daily
kichwani kw+ngu kama melody baby
nahofia nkikukosa maana
we ndio unanikosha
oh no!
pa pa mpararaampa
pa pa pa mpa mpa mpararampampa
Random Lyrics
- camera obscura - do it again (the wild honey pie buzzsession) lyrics
- fearofmakingout - bees lyrics
- sacresy - with my hoe! lyrics
- king khali - know better/chase lyrics
- kizito arinze - just friends lyrics
- poésie zéro - la bourgeoisie lyrics
- poésie zéro - toujours oi lyrics
- ali kiba - usiniseme lyrics
- danixir - xmania lyrics
- tutor koraphat - เป็นไปได้ไหมเธอ (suddenly) lyrics