azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rapcha - tunajimwaga lyrics

Loading...

yea yea yeah yeah

verse 1

hii sound ndio wana wanaipenda

popote wana+vibe wanacheza

show me now kama you can dance

onesha ka unafeel hii sound

ushanipata!

ladies whine.. whine.. whine

show them ka uko fine fine fine

wanangu wako high wana+blaze chunga usiwadisturb (oooh aaaiyaah)

bridge

one time for my shytown girls (oyeaah)

two times for my a+town girls (oyeaah)
three times my dar+es+salaam girls

me i got love for you

(yeah yeah yeah)

one time for my rock city girls (oyeaah)

two times for my dodoma girls (oyeaah)

all my tanzanian girls

me i got love for you

chorus

tunajimwaga!

mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

tunajimwaga!

mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

tunajimwaga!
mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

naona watu wameshona

wengi kinoma

wanaruka mangoma mhh aaah

tunajimwaga

verse 2

mziki unanoga nayaruka

nenda nao

rudi nao

mziki unanoga nayaruka

nenda nao

rudi nao

zikikita ngoma jisogeze
tujipongeze tucheze

na pesa kila kona ijitokeze

tusiipoteze nyingi tuongeze

wanangu force mpaka iwe (iwee)

changa changa mpaka iwe (iwe we we weeeh)

kama noma acha iwe (iwee)

we ng’ang’ana mpaka iwe (mpaka iwe) ah!

one time kwa wanangu wa magetto (ooo yeah)

two times kwa mahustler msoto (oyaaa)

three times kwa machizi wenye ndoto

tutaishi good life tu

chorus

tunajimwaga! mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

tunajimwaga!

mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

tunajimwaga!

mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

tunajimwaga!

mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!

naona watu wameshona

wengi kinoma

wanaruka mangoma mhh aaah

tunajimwaga



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...