azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rapcha - ulivyo lyrics

Loading...

yeah

shytown

nachizika ulivyo mzuri hivyo

mzuri hivyo mzuri hivyo

nachizika ulivyo mzuri hivyo
mzuri hivyo mzuri hivyo

[verse 1 : rapcha ]

tulikutana pitia mutual friend

nikawa nawaza we na yeye mnaeza kuwa wapenzi

na sikuacha k+muuliza kama anaaminia

akanambia he is not into you

ikapita miezi miezi namba yako nimeisave dear

ila sikuweza kutext au kukupigia

but one day nika play hard nikashoot hey wassup?

kesho yake tuka link up

[chorus: rapcha]

ulivyo mzuri ivo

nakupenda ulivyo mzuri ivo
yani since long time n+z+mika ulivyo mzuri ivo

ona ulivyo mzuri ivyo

oh no no no no

ulivyo mzuri ivo

nakupenda ulivyo mzuri ivo

yani since long time n+z+mika ulivyo mzuri ivo

ona ulivyo mzuri ivyo

oh no no no no

nachizika ulivyo mzuri hivyo

mzuri hivyo mzuri hivyo

nachizika ulivyo ulivyo mzuri hivyo

mzuri hivyo mzuri hivyo

[verse 2 : rapcha]
tulipo link up ndo nilianza kuhisi tu ka uko ready

back seat tunashikana mpaka ghetto then we

light it up smoke some n’kadondosha playlist

baada ya kula kisses tu nguo zikatoka kwenye bed

you said no no no bila condom maybe

nenda tu kazifate dukani kwanza and i said shiiiit

chafu yangu kanidakia fasta nikarudi room

then tukaplay album ya kwanza ya snoop

[chorus: rapcha]

ulivyo mzuri ivo

nakupenda ulivyo mzuri ivo

yani since long timе n+z+mika ulivyo mzuri ivo

oh na ulivyo mzuri ivyo

oh no no no no

ulivyo mzuri ivo

nakupenda ulivyo mzuri ivo

yani since long time n+z+mika ulivyo mzuri ivo

oh na ulivyo mzuri ivyo

oh no no no no

nachizika ulivyo ulivyo mzuri hivyo

mzuri hivyo mzuri hivyo

nachizika ulivyo ulivyo mzuri hivyo

mzuri hivyo mzuri hivyo

last king of 90’s baby



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...