raph is rough - pilau lyrics
[chorus]
dem anataka pilau
pesa, nimebaki na mbao
anadai shopping ya thao
tuende keja kampikie pilau
dem anataka pilau
pesa, nimebaki na mbao
anadai shopping ya thao
tuende keja kampikie pilau
[verse]
anaruka keja to keja
lakini mimi ndio major
alisema singeweza,mi nikamchimba nikamwagia lawama
amebaki na alama
hakuna n+gga anatazama
makeki zake zimelala
si maisha imebaki kukaza
kucheza na yeye ni kukimbisha karao
akileta shida ninamtupa kwenye floor
meno zake white ka ametoka kula rao
roo yake black niliokota pale grao
alisuka kina kevo anataka pesa zao
alafu pale gram alimangana na brayo
anatesa sana akitoka kwenye hao
ni mimi pеkee nimecheki akiamka
[chorus]
dem anataka pilau
pеsa, nimebaki na mbao
anadai shopping ya thao
tuende keja kampikie pilau
dem anataka pilau
pesa, nimebaki na mbao
anadai shopping ya thao
tuende keja kampikie pilau
[verse]
she for the skreets
she for the skreets
she for the skreets
send her back to the skreets
tuna deal na ma gold digger
n+gga chunga, utazidi kupimwa
venye amevaa di gaga
atahepa ka john cena
you cant see me
you cant see me
you cant see me
you cant see me
mi ni badman wanasema nightrunner
nakuw+nga na mbio ikifika rush hour
beberu akifika anarusha madawa
usiku time ya supper ninataka kuwachapa
[chorus]
dem anataka pilau
pesa, nimebaki na mbao
anadai shopping ya thao
tuende keja kampikie pilau
dem anataka pilau
pesa, nimebaki na mbao
anadai shopping ya thao
tuende keja kampikie pilau
Random Lyrics
- the cribs - the weather speaks your name lyrics
- le conteur - being alive. lyrics
- mikkalsen - internal discourse lyrics
- fouki - crêpe sirop d’érable lyrics
- bts (방탄소년단) - stay lyrics
- ollie (fi) - aavikolla lyrics
- fool (dnk) - are you down? lyrics
- little daniel - run under (black ghosts) lyrics
- simply wavy - butterflies lyrics
- edwin - berliner luft lyrics