azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rayvanny feat. diamond platnumz – mwanza lyrics

Loading...

vanny boy…
ehh vanny boy
ehe

they are not ready for this

eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi

eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi

oya wind your waist
njoo nipatie commando
nikupe cha mkwesi
kwa miuno ya taekwondo

asa shekele
mwendo wa kandanda
ndani ya nangwanda
sa nisongeze
leta msambwanda
nikazie ngangangaaa

(chiii!) kananivuta ghetto
nkapinge bunduki (high bunduki)
ile naogopa central
michezo ya amber rutty (amber rutty)

eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi

eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi

yaani kama mjaluo
shepu ya mombasa
hapendagi mpasuo
hatakishida basata

tepe tepe
toto kama supu teke teke (kongoro)
kwa makeke muite fally ipupa wa temeke (ndombolo)
shaku shaku ya masai (oooh masai)
kama kama nachuma papai (oooh papai)

funika funua (twendee)
bandika bandua (twendee)
anika anua (twendee)
kanipa chukua (twendee)

eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi

eeh nyege nyege
kwetu mwanza nyegezi
hmmm nyege nyege
nishushe mwanza nyegezi

oya fiti kalikiti ti
katoto hakashikiki (oya)
kwenye bilingiti ti
huvunjaga na kiti

oooh sa iweke
ah iweke iweke… ah iweke
ipitishe kwa chini
ah iweke iweke… ah iweke

miuno ya kazi kazini
ah iweke iweke… ah iweke hii
ile ndindindii
ah iweke iweke… ah iweke

ngoja shake it bobo
ah iweke iweke… ah iweke
twende shaku kidogo
ah iweke iweke… ah iweke
chuma magimbimbi
ah iweke iweke… ah iweke
ah iweke iweke… ah iweke



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...