rayvanny - ccm tetema lyrics
ona wanatetema ooh wanatetema
wapinzani tetema ooh wanatetema
ona wanatetema ooh wanatetema
vichwa chini tetema ooh wanatetema
te tetema! magufuli jembe haogopi
tetema! tena ni mkweli haongopi
tetema! mafisadi kawanyima noti
tetema! anajenga nchi na hachoki
nyumbani k+menoga, ooh mama
wapinzani wamedoda, ooh mama
ccm namba moja, ooh mama
wale wengine watangoja wakilia
aaah! ai mama shigidi aah
nakufa hoi wikidi aah
ai mama shigidi konki
fire moto, liquidi
ona wanatetema ooh wanatetema
wapinzani tetema ooh wanatеtema
ona wanatetema ooh wanatеtema
vichwa chini tetema ooh wanatetema
ona wanatetema ooh wanatetema
wapinzani tetema ooh wanatetema
ona wanatetema ooh wanatetema
vichwa chini tetema ooh wanatetema
tetema! ndege flyover kazileta
tetema! shule zote bure tunapeta
tetema! afya na viwanda kaboresha
tetema! magufuli nchi anapendezesha
ongoza ch0m+za we ni bulldozer
chuma mi nakuita jembe
wakichokoza, chokoza, wizi utawaponza
tumbua wapige nyembe, brrrokey
ona wale wamelala doro
doro, doro
ati wanatafuta kasoro
soro, soro
washa! zahanati kijiji jiji
washa! mwendo kasi kwenye jiji jiji
washa! rufiji jiji
washa! magufuli ndo biggy biggy
t++te! ooh wanatetema
wapinzani tetema ooh wanatetema
ona wanatetema ooh wanatetema
vichwa chini tetema ooh wanatetema
ona wanatetema ooh wanatetema
wapinzani tetema ooh wanatetema
ona wanatetema ooh wanatetema
vichwa chini tetema ooh wanatetema
kichaa kime, kime, kimewapanda
wamewehuka, kime, kime kimewapanda
kawapandisha mizuka
kichaa kime, kime, kimewapanda
ona wanaruka ruka, kime, kimewapanda
kichaa kime, kime, kimewapanda
kapanda juu ya meza kime, kimewapanda
hadi wanavua shati
kichaa kime, kime, kimewapanda
hawatatuweza, kime, kimewapanda
na hawatupati!
(wasafi!)
Random Lyrics
- seulgi - 기억속에 너와 (in my memory) lyrics
- dj ghoulyard - man w/a plan lyrics
- travis bradbury - the great grey heaven lyrics
- mø - fake chanel lyrics
- despina olympiou - stagona - stagona lyrics
- after school (애프터스쿨) - diva (romanized) lyrics
- макулатура (makulatura) - богема (bohemia) lyrics
- ryan castro - mal necesario lyrics
- m4lvinna - закат (sunset) lyrics
- bananas in pyjamas - el polichinela (wish fairies) lyrics