rayvanny - habibi lyrics
mmmh mashallah
mama mkwe shikamoo, huyu mtoto umetotoa ni balaa
tumbo si la kwashakoo, shepu linatukomoa nyie
mwenzenu huku k+mbe ninapendwa, afu hamsemi
nyie, mapenzi yanapamba moto, amkeni amkeni
nahisi udongo wako mungu alichanganya viwili
misheni na maziwa kwa mbali, pilipili
udaku damu wa makka uzidi kunawiri, sura yako
kichwani hakusita k+miminia akili
moyo wa upendo na wenye kusubiri
shepu kwa hasira kajaza mara mbili, zawadi yako
aah kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha
aaah, napewa raha karibu jeraha
aah
habibi, habibi
habibi, habibi
habibi, habibi i love you, i want you
habibi, habibi
habibi, habibi
habibi, habibi i love you, i want you
aahh mmmh
mahaba, yananimwagikia
nimekabwa, hataki niachia
na, kwake nadekezwa nadeka
kina fulani wanakereketwa
namuomba muumba akulinde malikia
naomba nisikukose kwa dunia
++
wakikugusa ni mapanga tarime
ya tisa ya mie mama dorime
wasokupenda waende wakalime
aah kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha
aaah, napewa raha karibu jeraha
aah
habibi, habibi
habibi, habibi
habibi, habibi i love you, i want you
habibi, habibi
habibi, habibi
habibi, habibi i love you, i want you
Random Lyrics
- veerneeer - марионетка (the puppet) lyrics
- kim petras - young & spoiled lyrics
- h.e.x (singer) - padam padam [cover] lyrics
- gifted gambler - grown lyrics
- maf teeski - yea yea lyrics
- dancimnau9 - you lyrics
- danya official - să plângi în fiecare an de ziua mea lyrics
- kuku$ - u ovom gradu lyrics
- cerement - how can i love with these hands? lyrics
- divide paths - there is no you lyrics