
rayvanny - lala lyrics
lala la, lala lala
lala la, lala lala
(it’s s2kizzy beiby)
nawaza usingetokea ningeongea nini leo? (aah)
bila ya penzi lako ningeenjoy nini leo? (aah)
imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo
tena bila huruma yako ningetamba wapi leo? (aah)
kwenye baridi
nikuk+mbate upate joto
twende kwa bibi
atupe baraka tuzae watoto
ngozi laini mtoto soap soap
tumbo la kuvalia crop top
vanessa wa nini? we don’t talk talk
sitaki shobo nisha block block (iyee)
lala la, lala lala
lala kifuani mmh
lala la, lala lala
kichuna lala usinzie
lala la, lala lala
nibembeleze nikuimbie
lala la, lala lala
la la la..la la la
nikimuita sukari ananiita asali
lamba lamba pipi
kuku mwenye kidari, shepu ngangari
la kuvunja kiti
fundi fundi kamba
za upendo wake kunibeba kwenda juu
wakimponda saa
hawajui ndo n+z+di k+mpenda tu
usiku kwenye kimvua mvua, tukivua vua
sema hata ajilaze kwenye kifua
unanijua jua, nakujua jua
masaji ya mafuta nikikuchua
ngozi laini mtoto soap soap
tumbo la kuvalia crop top
fahima wa nini? we don’t talk talk
sitaki shobo nisha block block
lala la, lala lala
lala kifuani mmh
lala la, lala lala
kichuna lala usinzie
lala la, lala lala
nibembeleze nikuimbie
lala la, lala lala
la la la..la la la
lala la, lala lala
lala kifuani mmh
lala la, lala lala
kichuna lala usinzie
lala la, lala lala
nibembeleze nikuimbie
lala la, lala lala
la la la..la la la
(wasafi)
Random Lyrics
- manzi fleur - barcelona lyrics
- our fate - release the tide lyrics
- tamsyn fox - still alive lyrics
- thyro feat. yumi - heto lyrics
- rainbow kitten surprise - moody orange (live from athens georgia) lyrics
- joshua bond - in the movies lyrics
- cherry ills - jigsaw lyrics
- roberto trevizan - who's such a fool lyrics
- nyluu - blue monday lyrics
- dj artist - voices lyrics