rayvanny - mbeleko lyrics
Loading...
walisemaga duniaaaa
ina mapambo yake
ukiacha majumba pesa magari
ni wanawake
nimezungukaaa nimefika kwake
siwezi ficha nimeshanasa kwa pendo lake
labana kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
hata mama kakusifu xana
ni tofauti na wale
wa jana kule nilizama
tafadhali niokoe mamamama
unipulize nipoe
we ndo my queen baby my only
sitopenda wende mbali one day
we ndo my queen baby my only
sitopenda uende mbali one day naficha mbeleko kwa ajili yako
jiachie nikubebe
Random Lyrics
- natalie dessay - wait lyrics
- phoebe bridgers - demi moore lyrics
- clara benin - parallel universe lyrics
- joyous celebration - uthando lukababa lyrics
- kamelen - mitt liv lyrics
- michał rosiński - corazón lyrics
- kodak black - about you without you lyrics
- vuk mob - senke lyrics
- liro shaq el sofoke - pin pon lyrics
- škwor - teror lyrics