
rayvanny - naoa lyrics
[intro]
yeah!
(aah+aah)
chui (ooh+ooh)
(s2kizzy baby)
naoa ye’, naoa ye’, naoa ye’, naoa ye’, naoa ye’, ah+ah+ah
[verse 1 : rayvanny]
hanaga cv ya kuachika, aliwaacha wote alokuwa nao before
mikono yake sio ya kupika, ni kunishika, shika na kunihesabia dough
kuku tetea ametulia, show+show time ona anavyopanda jogoo
mahari kwao nitatoa na mia, wakitaka ng’ombe nitawaongeza kondoo
[bridge : rayvanny]
una balaa, baby, una balaa
una balaa, baby, una balaa
una balaa, baby, una balaa
hata wakikataa, baby we ni kifaa, iyoo
utamu nipunguze ama niongeze, baby (aah, ongeza)
mahaba nikupe yote ama yanatosha, baby (aah, baby, ongeza)
utamu nipunguze, niongeze, baby (aah ongeza)
ndizi na nini, muhogo, baby (aah, baby, ongeza)
[chorus : rayvanny]
naoa, eh+eh, naoa ye’
naoa, siwadanganyi, naoa
naoa, eh+eh, naoa ye’
naoa hiki chombo, naoa
naoa, eh+eh, naoa ye’
naoa, siwadanganyi, naoa
naoa, eh+eh, naoa ye’
naoa hiki chombo, naoa
[verse 2 : alikiba]
mi’ nimеmisi penzi internationally
sio kifisi, fisi mahaba ya kisomali, oh
ooh, wajua mimi siwezi kukuacha wеwe
nataka uishi na mimi, usiniache, nisikuache, oh+oh, please
ah+ah+ah, nimetandika busati, keti kwenye roho, oh
mkali kuogesha marashi, eh, oh
[bridge : alikiba]
kama unakuja, kama una go
we’ na malaika, kurwa na dotto
yanayonivuta, mahaba yako
mama nakuita uje kariakoo
[chorus : rayvanny & alikiba]
naoa ye’, naoa
naoa ye’, naoa
ali, naoa, naoa
naoa ye’, naoa
naoa ye’, naoa (ah)
naoa (naoa yeye) ye’, naoa
ali, naoa, naoa (oh)
naoa (naoa yeye) ye’, naoa
[outro : alikiba]
oh, naoa ye, eh+ih
oh+whoa, oh, oh+oh
yup!
ali leo naoa ye’, eh+ih
(kamix lizer)
Random Lyrics
- kenji - fantasia particular lyrics
- keily rude - all of me lyrics
- synqro - cold lyrics
- fripside - promenade lyrics
- nana kwame ampadu - abotare, pt. 1 lyrics
- humanangst - pflaster lyrics
- the national - england (live in rome) lyrics
- j3s - la storia di un amore - historia de un amor lyrics
- that kid danny - time alone lyrics
- atl smook - top off lyrics