rayvanny - naogopa lyrics
mmmh heey
mapenzi chenga
yakikupiga unasurrender
na wengi wakipendwa
wanasahau kuna kutendwa
mapenzi chenga
yakikupiga unasurrender
na wengi wakipendwa
wanasahau kuna kutendwa
wapi mkandarasi wa moyo
ukuta wa mapenzi unabomoka
kinacho ponza wengi ni moyo
wakikalia kuti kavu wanadondoka
wapi mkandarasi wa moyo
ukuta wa mapenzi unabomoka
kinacho ponza wengi ni moyo
wakikalia kuti kavu wanadondoka
unajisifu umempata
k+mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
unajisifu umempata
k+mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
naogopa (naogopa)
naogopa (naogopa)
naogopa
kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
naogopa (naogopa)
naogopa (naogopa)
naogopa
tena tochi ya mapenzi isinimulike
nimeyaona bayana
ndo maana sitaki kuk+mbuka ya jana
alivyonidanganya
moyo w+ngu ukapiga danadana
nimeyaona bayana
ndo maana sitaki kuk+mbuka ya jana
alivyonidanganya
moyo w+ngu ukapiga danadana
kwani nilizamapendo yakaniteka mapenzi
tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi
unaweza sema pesa ndiyo breki
ila mapenzi hayasomeki
umemteka kwa mali na cheki
k+mbe vyombo anakula muuza magazeti
unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki
mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki
mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji
unajisifu umempata
k+mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
unajisifu umempata
k+mbe alo mwacha anamfata
anachotaka anakipata
wanasema hawara hana talaka
naogopa (naogopa)
naogopa (naogopa)
naogopa
kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
naogopa (naogopa)
naogopa (naogopa)
naogopa
tena tochi ya mapenzi isinimulike
kuna watu walipendana na waliapishana hawatakuja kutenga
ila bado wadanganyeni kilammoja anafanya nani apewe lawama
wengine wamejuana jana mechi leo mchana na habari hawana
hadi vita wanapigana wakiumizana nani apewe lawama
naogopa eeh
naogopa, naogopa aah aah
yeah
Random Lyrics
- marylou villegas - generation lyrics
- pink phantom & asteria - nowhere lyrics
- cavalheiro - lado de lá lyrics
- archie awford - listen in the sun lyrics
- house of heroes - your casualty lyrics
- lil sopaïne - kirito lyrics
- grant perez - everybody here lyrics
- spookyghostboy - crossroads lyrics
- mikey b (feat. paige eliza) - white lies lyrics
- samiarwastaken - shiny teeth remix lyrics