rekles - geezer lyrics
[intro: rekles and justin roiland]
(just hit a b#tton, morty, gimme a beat!)
(oh, man, okay, alright, um…)
yeah, uh#huh
yeah, uh, yeah
[chorus]
unataka nini? mbona una feelings?
oya, ni kama umedunga kamisi
una gari ama unadai lift?
juu hizo mapicha una#post ni za kiki
kama kafiri anakunywa spirit
hapa wachawi ndio bado waumini
sadaka ama nitalipa bill
sawa, ni pastor, na pia ye ni fisi
unataka nini? mbona una feelings?
oya, ni kama umedunga kamisi
una gari ama unadai lift?
juu hizo mapicha una#post ni za kiki
kama kafiri anakunywa spirit
hapa wachawi ndio bado waumini
sadaka ama nitalipa bill
sawa, ni pastor, na pia ye ni fisi
[verse 1]
yeah, uh
oya, majamaa, ficheni mabibi
na gari utanunua lini?
bado unachanga, nataka mercedes
we umepagawa, unatakanga nini?
madawa muhimu kaa dini
malaya anageuka ati jini
mbaya mbaya, bado kutu ni kutu
na juu hakuna utu, atavuta firimbi
buda, na hunanga courtesy
ulianza kunyonga nursery
na bado manzi yako hunionyesha mambo
yaani ma#nudes kwa gallery
cheki, mi niko tayari
akitaka kufanywa surgery
swagger ni mbaya, yaani ka kawa
nawadungianga dungaree, uh
kama si doh ama cash
hakuna vile bila shash kwa bash
na niko wera, najua jo ka#hater
katacheka sana nikilala njaa
kaa we si member, unadhani unapendwa
unataka ati favour, unakanyaga
oya, gathee, ni kama unachezwa
beshte yako, manzi yako, wanadarana
[chorus]
unataka nini? mbona una feelings?
oya, ni kama umedunga kamisi
una gari ama unadai lift?
juu hizo mapicha una#post ni za kiki
kama kafiri anakunywa spirit
hapa wachawi ndio bado waumini
sadaka ama nitalipa bill
sawa, ni pastor, na pia ye ni fisi
unataka nini? mbona una feelings?
oya, ni kama umedunga kamisi
una gari ama unadai lift?
juu hizo mapicha una#post ni za kiki
kama kafiri anakunywa spirit
hapa wachawi ndio bado waumini
sadaka ama nitalipa bill
sawa, ni pastor, na pia ye ni fisi
[verse 2]
ona venye wana#tense
na ni juu rek ameangusha video
unashindwa kulala kwa bed
iza buda, jo, ama unataka piriton
na nikapigwa jo ma#chain
na#murder hizi beat, bado mi ni criminal
tabia zangu za ki#cain
naweza ku#cane, tukiingia hata biblical
uh, manga kaa cannibal
uh, mi bado antidote
rastafari, yaani staki u#bombo
fire burn system za ki#babylon
nimezaliwa shada capital
uh, naweza ku#burn mbaya
alafu uta#feel una mabawa
mi naji#feel kama vampire
[chorus]
unataka nini? mbona una feelings?
oya, ni kama umedunga kamisi
una gari ama unadai lift?
juu hizo mapicha una#post ni za kiki
kama kafiri anakunywa spirit
hapa wachawi ndio bado waumini
sadaka ama nitalipa bill
sawa, ni pastor, na pia ye ni fisi
unataka nini? mbona una feelings?
oya, ni kama umedunga kamisi
una gari ama unadai lift?
juu hizo mapicha una#post ni za kiki
kama kafiri anakunywa spirit
hapa wachawi ndio bado waumini
sadaka ama nitalipa bill
sawa, ni pastor, na pia ye ni fisi
Random Lyrics
- hizzy - how you feel lyrics
- бутырка (butyrka) - шарик (sharik) lyrics
- aimée - i'm ok lyrics
- lakky one star - мы тебя не звали к нам (my tebya ne zvali k nam) lyrics
- the mills - smile lyrics
- nolan gross - the bonfire lyrics
- body and soul - i’m done lyrics
- shannon and the clams - done with you lyrics
- char chris - i like you so much lyrics
- kih džordža klintona - call me saul lyrics