rekles, seska, swat and zilla - saba 7 lyrics
kufisia alama jo kama mbeibe ame beba
shika mkono ufikishe mpaka kwa keja
kuta vitu mpaka jirani kateta
wape wape wape ….
hakuna bleki buda na kata maji mpaka chee
hapa msupa jo hakuna smama niku bend
na ma waiter buda wame sleki sana jo kize
wape wape wape….
basi mbeibe nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nikimdigi fiti nacheki jo ame beba
niko macho kwake ni kama handas ketepa
chapanisha kuni ibaki baby amesepa
ni ma diva tu na kawe dimanga pereka
hakuna kushare fisi aki come ngorea
top layer alaa a man a gyalis sorea
on air balance na ureverse orea
leo lazima kata mbe orea orea
hakuna bleki buda na kata maji mpaka chee
hapa msupa jo hakuna smama niku bend
na ma waiter buda wame sleki sana jo kize
wape wape wape….
basi mbeibe nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
cheki niko maji zime shika juu wadhi
dunda niku dunda tuna dunda mpaka di
shika manzi fiti aki kubali jo una plead
kama ni k-mdigi nik-mdigi juu ya meza
cheki na kamsupa kama ngwati nakata
daily ni kusele hata mambanga kwa nganya
msupa ako down town aki chochwa ana panda
anasmama ana rombosa kiuno haga kwa murder
hakuna bleki buda na kata maji mpaka chee
hapa msupa jo hakuna smama niku bend
na ma waiter buda wame sleki sana jo kize
wape wape wape….
basi mbeibe nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
niko dry spellmiezi kadhaa
ume jaza nyumba kama taxin ya wariaa
kutu imejaa na siwezi fika bei ya samantha
pia uki kaza me nita ora nita dandia
me natasha kina flora na maria
ukirombosa me na kosa amani…aaa
na kuna number uki chora me nita pandia
na kuta haraka hakuna doze na kwamilia
hakuna bleki buda na kata maji mpaka chee
hapa msupa jo hakuna smama niku bend
na ma waiter buda wame sleki sana jo kize
wape wape wape….
basi mbeibe nipe saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama
nipe
saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama saba ukiinama……
Random Lyrics
- brighton port authority - superlover lyrics
- omul cu şobolani - moksha lyrics
- mike - discovery lyrics
- dirty (us) - that's dirty lyrics
- michael bolton - daddy's little girl lyrics
- india shawn & james fauntleroy - who cares lyrics
- jill scott - slowly surely (the teddy vee remix) lyrics
- antiform - crash lyrics
- craig's brother - my annie lyrics
- the poodles - lie to me lyrics