rich mavoko - blow up lyrics
maliza mishe mishe unipitie
kabla hujatoka unitw+ngiee
kuna chodo tujichimbiee
kuku wengi ujichinjiee
jieni tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
agwe mi angu choni msanga mi siendi tena
michezo ya shimoni ukichanga ukopeshwi tena
isibaki changamaa ooh, changamaa
tushikane mashati tuje pigana
maagiza ndama leo nachoma nyama
uchu mchana mchana naona mkiminyana
fanya bidii jitahidi
ifike mida ya kigida tufahidi
jieni tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
wengi tujichinjie
jieni tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
tangu underground kabla sija blow up
niliamini kwa hizi sound watoto wa town
wote wata show up
nilipo na nikaimbisha crowd visiki nikaving’oa
ile simple tu wakanivisha crowd mbishi nikaitoa
wako wapi mashpapi?
waje kati slow slow
ulisema haunitani usinifuate
happy usinifosi force
peku unatembea ka(ma) mpoto ukihisi miba vaa
nyumba iliyoteketea kwa moto
haina shida ya mkaaa
twende tuka blow up
tuka blow up
tukalipuke mwanangu
mambo sio poa
night tuka blow up
tuka blow up
chichi jingi, mixer nyingi hadi una+throw up
jieni tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
wengi tujichinjie
jieni tuka blow up
tuka blow up
night tuka blow up
tuka blow up
ayaya ayaya eeehh
ayaya ayaya eeehh
Random Lyrics
- sally hope - karma police lyrics
- blueface - hello lyrics
- unknxwn. - promise. lyrics
- miranda! & chano! - mentía lyrics
- white lord jesus - back in mary's room lyrics
- hervé (postaal) - la lettre lyrics
- низам dredd (rapper) - любишь ее (do you love her) lyrics
- volpe - winter lyrics
- marina živković - koža mi je tesna lyrics
- jay wheeler - 2022 lyrics