rich mavoko - kokoro lyrics
“kokoro” ft diamond platnumz
[intro]
wasafiii
hayaa
ayoo laizer
wasafi records
[verse 1: rich mavoko]
me and you till i die
babe chimamy white mmasai
mzuri hadi ndani
i know you like mumbai
upo kama nyumbani
i can buy you hyundai
haifiki mwakani
tena hujui poda wala hupaki mascara
shape nyuma kigoda
sauti kama ya stara
una lips nyembamba
toto la mujer de mi vida
kiuno cha kuvaa khanga
macho kama umenyonya weeda
[bridge: rich mavoko]
oh oh baby
(aaaaaah) girl i want to see
(aaaaaah) ah baby
(aaaaaah) ooooh
girl i want to see
(aaaaaah) oh baby
[chorus: diamond platnumz]
asa kokoroko (ooooooh) kokoroko
asa kokoro baby
asa kokoroko
eeeeeh kokoroko
anifinyie kwa ndani
asa kokoroko (ooooooh) kokoroko
asa kokoro baby
asa kokoroko
eeeeeh kokoro
napendagaa
[verse 2: rich mavoko]
aaaaaaah diana, sister diana
mhhh halima, sis halima
una pigo za ki lady gaga
nyuma laini kama burger
zigo la kuvunja chaga
kifaranga kimetaga
kwanza mwasi matata unavyosakata
kiuno talanta mavi karata
jini makata avonikamata
kichwa na ngata soka samatta
[bridge: diamond platnumz & rich mavoko]
heee eeeh
mashallah mie kwake tafarani (heee eeeh)
anavyonisasambua kama nguo mnadani
(aaaaaah) yayaaa
girl i want to see
(aaaaaah) ah baby
(aaaaah) ooooh
girl i want to see
(aaaaaah) oh baby
[chorus: diamond platnumz]
asa kokoroko (ooooooh) kokoroko
asa kokoro baby
asa kokoroko
eeeeeh kokoroko
anifinyie kwa ndani
asa kokoroko (oooooh) kokoroko
asa kokoro baby
asa kokoroko
eeeeeh kokoro
napendagaa
[verse 3: diamond platnumz]
mtoto ana pigo za tetere
usiombe akichuma matembere
ndizi anang’ata ka ngedere
chumbani singeli segere
ruuubudaa (heee eeeh)
mashallah mie kwake tafarani (heee eeeh)
anavyonisasambua kama nguo mnadani yayaaaiya
[outro: diamond platnumz & rich mavoko]
yebaaaaa!!!
anadodoaaa (dodoa) yeeih!!!
anadodoaaa (aaaaahh) dodoa aariririririiii
anadodoa
mashetani yamepandaa (dodoa)
kiti kavunja manyanga (anadodoa)
mgonjwa anatibu mganga (dodoa)
anandondoka (anadodoa)
mwenye nyumba kapanga (dodoa)
boringo limekuwa vanga (anadodoa)
maiti kavuliwa sanda (dodoa) ooooh ooh ooh
hahah hawatoweza
Random Lyrics
- shinyribs - whoop and hollar lyrics
- korell - so in love with you (nina) lyrics
- all out war - worship the cancer lyrics
- taylor grey - nongoodbye lyrics
- amen jr - d r e a m s lyrics
- cruel force - victim of hellfire lyrics
- cheekface - once a day lyrics
- reezy - teenager forever lyrics
- finger & kadel - sterne lyrics
- saint kid - lost lyrics