rich mavoko - lalama lyrics
kama ni bado huj+pata zangu salamu
basi kipenzi w+ngu sikia
nahisi maumivu kwa ndani navuja damu
punde si punde nitateketea
lati uijibu wewe
kipendacho roho nyama mbichi nielewe
usitupe jongoo na mti
na mti wake na mti
umemsusa uncle auntie
auntie yake auntie
n+z+di kukosa imani
nilishawahi kuumizwa
wivu hauna dhamani
unahisi naigiza
kilichobaki ni kw+ngu tu
kulama lalama lalama
nashindwa kujiuguza
kulama lalama lalama
sababu yako tu mami
baby boo mami
i need you mami
baby boo mami
wasinyanganye wanipunje
navyokosa kukuona nakosa raha
niende kwa mganga nikufunge
huenda nitapona ukichaa
kuipoteza dhahabu
bila sababu sioni
labda niandike kitabu
nayostaajabu kwa mboni
nakesha nalia
nalia, we unajua
nikipiga unanikatia
unanikatia mi naumia
usitupe jongoo na mti
na mti wake na mti
umemsusa uncle auntie
auntie yake auntie
n+z+di kukosa imani
nilishawahi kuumizwa
wivu hauna dhamani
unahisi naigiza
kilichobaki ni kw+ngu tu
kulama lalama lalama
nashindwa kujiuguza
kulama lalama lalama
sababu yako tu mami
baby boo mami
i need you mami
baby boo mami
najua unajua
nishamtuma njiwa
unajua baby
sema ka naibiwa
waniknow sema ka na aah
baby yeah yeah ..
baby yeah yeah ..
Random Lyrics
- extrabreit - herzen aus glas lyrics
- erasure - 3 strikes and you're out lyrics
- ohl - geh deinen weg lyrics
- shapov & meg \ nerak - dream about it lyrics
- angerme - 忘れてあげる (wasurete ageru) lyrics
- g herbo - feel this lyrics
- the boy (gr) - φίμωσε με (fimose me) lyrics
- apollo on the run - sugar lyrics
- bratboy - drowning lyrics
- calcinha preta - você merece lyrics