azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rich mavoko - silali lyrics

Loading...

mmh mmh aaah
kwengine sitamani
ile ahadi ulonipa moyoni

nahisi ni shetani
alie badili mawazo kichwani

mmmh! ona mapenzi ni mfano wa dimbwi
nimezama ni vigumu kutoka
mmmh! ona nakesha ni kama bundi
nikilala kuna kitu nakiota

umenipa upofu ningali hai
mboni zangu unaniumiza
ukanipa donda ndugu
moyoni mw+ngu maumivu yaliopitiliza

umenipa upofu ningali hai
mboni zangu unaniumiza
ukanipa donda ndugu
moyoni mw+ngu maumivu yaliopitiliza

mbona silali
kisa mawazo mwenzako sili
ona watoto nyumbani
wanauliza wapi mommy

ona mbona mbona silali
kisa mawazo mwenzako sili
ona watoto nyumbani
wanauliza wapi mommy

ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo
lakini siwezi
nahisi kama ndo nitazidisha mawazo
na maumivu ya mapenzi

mbona silali
kisa mawazo mwenzako sili
ona watoto nyumbani
wanauliza wapi mommy

ona mbona silali
kisa mawazo mwenzako sili
ona watoto nyumbani
wanauliza wapi mommy

oh oh oh eoh (oooooh)
oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
oh oh oh eoh (tuishi wawili)

oh oh oh eoh (aah tujenge famili)
oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani)
oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa)
oh oh oh eoh (oooooh)

mizizi ya mapenzi moyoni
umekata kwa kinywa chako
huwezi kujua machoni
kama nimemisi pendo lako

ona macho yangu yalivonyauka
kwakutazama penzi linalozamia
mmmh nimechoka kulalama
nahisi kama unanionea

nyimbo za hisia na mawazo
kichwani bado zinajitunga
napo jiuliza nini chanzo
naumia naona bora kuimba

wanipa tabu ya kusafisha kaniniki
wakati rangi inajulikana
naninashindwa usingizi sipati
nakosa raha usiku mpaka mchana

mmh hey (hey)
mbona silali
kisa mawazo mwenzako sili
ona watoto nyumbani
wanauliza wapi mommy

aah ona mbona silali (mbona silali)
kisa mawazo mwenzako sili (ah mwenzako misili)
ona watoto nyumbani (ah watoto nyumbani)
wanauliza wapi mommy (uuuh uuh uuh)

ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo
lakini siwezi
nahisi kama ndo nitazidisha mawazo
na maumivu ya mapenzi

mbona silali (ooh mbona silali)
kisa mawazo mwenzako sili (mwenzako misili)
ona watoto nyumbani (aah watoto nyumbani)
wanauliza wapi mommy (wapi mommy)

mbona silali (mbona silali)
aah kisa mwenzako mi sili
aah ona watoto nyumbani
wanauliza wapi mommy (ooh ooh ooh)

oh oh oh eoh (oooooh)
oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
oh oh oh eoh (tuishi wawili)

oh oh oh eoh (aah tujenge famili)
oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani)
oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa)
oh oh oh eoh (oooooh)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...