azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

rj the dj – sina remix lyrics

Loading...

[intro : rj the dj]
rj the dj all day baby

[verse 1 : brother nassir]
nipende kama hurem sulemani
usiende kwa mwingine ukatamani
sinitende ukaja nidhurumu honey
tamu tende unilishe ayuni
oh niliwaze moyo w+ngu uwe baridi
nidekeze wala nyuma usirudi
huba langu sinifanyie kusudi
uwe w+ngu waumie mahasidi
huba liwe mfano kote ulimwenguni
na wadhahabu wino waandike vitabuni
ruhy nipende mno, mengine kw+ngu wanini
nasema baby kwengine mimi nikafwate nini

[hook : yammi]
aaaa aaaa aaaaa
mwingine sina
aaaaaaaaaaa
mwingine sina
aaaaaa aaaaaa
sina mwingine

[verse 2 : yammi]
nimetuliazana baby, mimi ni wako daima
kwako nishafika honey, acha pupa papara
unidekeze tuchеze cheze
umеniteka
w+ngu honey hayuni, mapenzi yako jamani
wanipumbaze akili, mwingine simtamani
tupendane kwa yakini, niwe wako w+ngu mimi
tushakula na yamini, mi nawe mpaka peponi
[hook : yammi]
aaaa aaaa aaaaa
mwingine sina
aaaaaaaaaaa
mwingine sina
aaaaaa aaaaaa
sina mwingine

[outro : rj the dj]
ladies and gentlemen
they call me rj, the dj
and i thank you so much for listening
awote



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...