roadie ginger - one love lyrics
mapenzi nishaalilia
maumivu nikapitia
mwenzenu nishaaumia
nishaapata wa kunivutia
ameziteka zangu hisia
manukato ananukia
i’ve got a new catch
that i date
she’s not too harsh
when i feel late
if you want me back
it’s too late
nitaota mabawa, tupae
nishaapata dawa, dada ee
takuja onana, baadaye
(pre+chorus)
wala sikuyaona
visu wakanichoma
niliuguza vidonda
one for my girl
one for my baby
one for my love
one for my woman
i got one love, one love
(chorus)
mwambie, mwambie
nishaapona mie, pona mie
mwambie… mwambie…
mwambie, mwambie
nishaapona mie, pona mie
mwambie… mwambie…
verse 2
naanika penzi la afrika
animaliza anaponiita
kwenye giza kisha anajificha
kaumbika hata akikasirika
shapе nane kifua saa sita
nawaliza pete nakavisha
if you got somеthing to say
it’s your last chance today
i’ll never love you no day
ulitaka me nipotee
ulinipiga mateke
ulitaka niishi upweke
pre+chorus
wala sikuyaona
visu wakanichoma
niliuguza vidonda
one for my girl
one for my baby
one for my love
one for my woman
i got one love, one love
(chorus)
mwambie, mwambie
nishaapona mie, pona mie
mwambie… mwambie…
mwambie, mwambie
nishaapona mie, pona mie
mwambie… mwambie…
Random Lyrics
- marcus gad - walk a talk lyrics
- bumble beezy - сниппет про диван (snippet) lyrics
- reign racks - pretty nigga lyrics
- kidz bop kids - delicate lyrics
- van buren records - foxy brown lyrics
- hbz & thovi - urlaub lyrics
- icy g - celebrity feelings lyrics
- axaero - stacy lyrics
- dwa sławy - wstępnie nie lyrics
- rolze - lose you lyrics