robbie omol - black and blue lyrics
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[verse 2]
na mangoma kali
tukiskiza hali
tutaongea kuhusu siku za usoni yani
vile yesu alitubadilisha hayo mavazi
sina siri ju siri zangu aliweka angazani
nataka tujuane
lakini sio kwa telly
roho yako inajua kuna siku kuna mwezi
ya mwanaume kuamua
yesu mtetezi
nifungulie njia ili nipate mapenzi
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[outro]
black and blue, its so true
every morning and afternoon
Random Lyrics
- מוש בן ארי - ad elay - עד אלי - mosh ben ari lyrics
- turið (den) - what's left of me lyrics
- serggy flow - recuerda lyrics
- kvly - pulp fiction lyrics
- shai pa3n - r34 lyrics
- le monde incroyable de gumball - le rap des enfants lyrics
- el faouri الفاعوري - ya rab - يا رب lyrics
- liquits - quién eres lyrics
- korvus - carrasco lyrics
- zara larsson - back and forth lyrics