azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

roma mkatoliki - naskia harufu lyrics

Loading...

[intro]
tongwe recordz, baby
(bin laden)
(instrumentals)
yeah
oi
uh+huh

[verse 1: roma mkatoliki]
[grand phenomena] ‘holla at your boy
i’m (?) foreigner
na i’m food nasipoi, siboi
na staa wima
orchestra ka bichuka, si mna enjoy?
oi!
upande iniesta, upande xavi
na supply bars niiteni afisa wa ugavi
leta singeli hata trap yaani nita switch, nita sound fit
bandana rap, ma bolo yeung nawapiga round+kick
na sina kiki
na siandiki muziki naandika hit
beki ya boli, ‘paulo maldini, unapita vipi?
ka ukuta wa guantanamo [mkato] unalinda lango
forwad butu za michongo
na striker hawana mipango
i see my lyrics
16 bars on my left arm
booth nachora mistari kwa rizla kuleni rhyme
i feel sorry for young rappers, please don’t do that
bonjour comme ça va (?)
[chorus: chid benz]
naskia harufu
naskia kick za madufu
naskia kimenuka mpaka nje ya [q.p]
now, tunajua nani chawa nani groupie
naskia harufu
naskia kick za madufu
naskia kimenuka mpaka nje ya [q.p]
now, tunajua nani chawa nani groupie

[verse 2: chid benz]
big li tungi
big li tungi, doh
mr. snoopy doggy doh
domo chafu kama vile choo, wamekaa (yeah)
hujakosea na unaomba msamaha
kwenu wananiona hata ukizima taa
maneno hayaishi kila siku, yeah
maureen sio mtamu kama chiku, yeah
mateso yanakuja baada ya kitu, yеah
matusi hayanogi mpaka usiku, yeah
niache, ‘nnapo enda sipajui
ila michеzo nnayo cheza wanacheza mabedui
kila nnavyoona mnanijua na ma brother hunijui
umejaza nyama ila mashine haikui
demu wako viatu mkononi asubuhi
katoka ghetto kupigwa battle
wahuni wanachabo huku wanapiga [drop]
[chorus: chid benz]
naskia harufu
naskia kick za madufu
naskia kimenuka mpaka nje ya [q.p]
now, tunajua nani chawa nani groupie
naskia harufu
naskia kick za madufu
naskia kimenuka mpaka nje ya [q.p]
now, tunajua nani chawa nani groupie

[verse 3: roma mkatoliki]
i was born to be the soldier
roger i’m crossing border
sober, and that’s an order
now here i thought i told ya
my mom loves me
she hate face on me
and when she face me, she face (?) with me
(woo!)
i got tattoos on my soul, woah
pain, sk!ll and full lyrics, punch your holes
so don’t pee (?)
to bring back the rain and the witchcraft
sa mje na sanda na mufti, ona nawaua kizembe
niliwaambia vita bunduki nyie mmekuja na viwembe
walimbwende, haste haste ‘mi mkali wa misimu yote
nadeka kama uncle shamte kifuani kwa ma dangote
afu siringi, sa mnampa kipofu zawadi ya luninga
afu mnavimba, mnaringa
leo nawatoa ujinga
wakikuambia “ndevu bila hela ni nyasi”
waambie “tako bila sura ni uvimbe”, au basi
[chorus: chid benz]
naskia harufu
naskia kick za madufu
naskia kimenuka mpaka nje ya [q.p]
now, tunajua nani chawa nani groupie
naskia harufu
naskia kick za madufu
naskia kimenuka mpaka nje ya [q.p]
now, tunajua nani chawa nani groupie



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...