rose muhando - jipange sawa sawa lyrics
haya yaya yaa yaaa yaangu eeeh
jipange sawasawa
unatoka wapi unakwenda wapi
unatoka wapi unakwenda wapi
je wajua majira na nyakati unazoishi sasa
unawaza nini unajifunza nini
unawaza nini wajifunza nini
je hujui ya kwamba maisha yako yamefika mwishoo
najua unatamani kua tajiri wa kwanza dunia nzimaa
lakini hufikirii kua wa kwanza mbinguni kwenye uzimaa (weee)
najua unatamani kwenda amerika kusini najua hiloo
lakini hujatamani kwenda kwa mungu mbinguni hatari hiloo
mwenzangu unatamani kupata maisha mazuri kwa raha zako
lakini hufikirii kujua ni nini hatima ya roho yako (wee)
naona una hangaika kwa hali na mali kutaka umaarufu
lakini hufikirii kuhangaika kupata utakatifu
mbona unaona fahari kupika majungu wengine wahangamie
lakini hufikirii kunena maneno ya mungu waokolewe
pole pole mama
pole pole mama
shetani anakutamani pole mama
hujui unaloliwaza pole mama
shetani anakutamani pole mama
kiburi kinakudanganya pole mama
unadhani mungu amechanganyikiwa kama wewe polee
huk+mu iko palepale kiama iko palepale
jehanamu iko palepale mauti iko palepale
huk+mu itachukua mkondo wake na wewe umekwisha
tabasamu la mamba kufurahi kuona mawindo
tumia akili yako vizuri
wee simama jipange sawasawa
simama jipange sawasawa
simama jipange sawasawa
simama jipange sawasawa
je filosofia ya mungu kwa habari ya huk+mu ya dhambi
na ule ufufuo wa wafu ndio kusema umepitwa na wakati
aaah uuoo ni upumbavu wa mwanadamu na ujinga wake (wee)
mawazo ya mungu ni thabiti akili zake hazichunguziki
teknolojia yake iko juu sanaa imeshinda zote
pole pole mama
pole pole mama
shetani anakudanganya pole mama
shetani anawinda roho yako pole mama
ni heri ungelijua pole mama
ungempa yesu maisha yako pole mama
tabasamu la mamba kufurahi kuona mawindo
tumia akili yako vizuri
wee simama jipange sawasawa
tumia akili yako vizuri na ujue linalokupasa
shetani anakutamani wee simama jipange sawasawa
tumia akili yako vizuri na ujue linalokupasa
shetani anakutamani wee simama jipange sawasawa
macho yako mbele funga mkanda songa mbele
simama kiumee jipange sawasawa
macho yako mbele hatua k+mi songa mbele
simama kiumee jipange sawasawa (weee)
haiyaa iyaa iyaaa
oooh iyaaa iyaaa eeeh
simama jipange sawasawa (shetani anakudanganya mama)
simama jipange sawasawa (shetani anawinda roho yako mama)
simama jipange sawasawa (shetani anataka roho yako baba
simama jipange sawasawa (usimkubalie mama)
wewe jipange sawasawa (rudi rudi rudi)
wewe jipange sawasawa (na yesu anakutamani)
wewe jipange sawasawa (dunia isikudanganye baba)
wewe jipange sawasawa (dunia inakudanganya baba)
haaaiya iiyaaa aaah
hakuna jipya chini ya jua (wewe jipange sawasawa)
yesu anakuja na ujira mkononi (wewe jipange sawasawa)
yesu anakuja na ujira mkononi (wewe jipange sawasawa)
haaaiya iiyaaa aaah (wewe jipange sawasawa)
Random Lyrics
- shamecheeze - прозрачный человек (transparent person) lyrics
- mallavora - eternal lyrics
- atif aslam - wohi khuda hai - coke studio - season 12 lyrics
- amedeew - hennessy lyrics
- trellsuave - mazi in miami lyrics
- strawberry girls (jpn) - リーガルガール (legal girl) lyrics
- зэт (zet (by)) - 1, 2, 3 lyrics
- lloga - marlboro lyrics
- falo - ritmo profesional lyrics
- zablokirovan - такая же (the same) [unrelease] lyrics