
rose muhando - sitanyamaza lyrics
eeeehhhh
mimi mungu
kwa tiro nitalia, kwa sinoni nitaomboleza
sodoma nitanung’unika, mipakani nitashambulia
mijini wameniacha, kila kona nitashambulia
maisha ya wanadamu, yamenichosha
oh oh mimi
sitanyamaza, wala sitanyamaza
lakini nitalipa ujira wa vifuani mwao
maovu yenu nyinyi, pamoja na baba zenu
nasema nitalipa dunia ijue mimi ni bwana
mmef+kiza uvumba, (mmenitukana nyie) na kunitukana
kwa ajili ya haya mtajutia vizazi vyenu
mmefanya uzinzi katikati ya milima
usiku wa manane mmefanya ukahaba
kwenye njia kuu na vichochoro mmefanya mapatano
kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo
mmefanya uzinzi katikati ya milima
usiku wa manane mmefanya ukahaba
kwenye njia kuu na vichochoro (hamniogopi mimi) mmefanya mapatano
kwenye mialoni na mipera mmefanya machukizo
ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba
(kila mwanamme) kila kijana aliyepita (aliyepita mbele yako wewe)ulimwona anafaa
awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda
ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba
kila kijana (kila kijana) aliyepita ( jamani) ulimwona anafaa
awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda
wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda( inasikitisha)
wako wapi mahеndisamu mbona sasa unakonda
wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda
wako wapi mahendisamu mbona sasa unakonda
miji mizuri imekuwa ukiwa
majumba mazuri yamеfungwa kabisa
wana wa wana wamebaki yatima
kiburi cha moabu kimekoma kabisa
miji mizuri imekuwa ukiwa
majumba mazuri yamefungwa kabisa
wana wa wana wamebaki yatima
kiburi cha moabu kimekoma kabisa
hebu sasa piga kelele uliye kahaba
shika kinubi omboleza upate kuk+mbukwa
hebu sasa piga kelele uliye kahaba
shika kinubi omboleza upate kuk+mbukwa
nirudieni mimi niwasamehe, nasema geukeni sasa niwaponye (5x interchangeably)
njooni kw+ngu mzungukao na wenye kulemewa na mizigo mizito yenu oh
chukueni nira yangu, nira yangu ni laini
mzigo w+ngu ni mwepesi mwepesi
haiyayayaya
mimi bwana ni mpole, mnyenyekevu wa moyo
instrumental
lakini bwana asema hivi, nitawaponya
yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki
mimi ni alfa na omega ayoyoyo, mwanzo na mwisho
jamani mimi ni mungu, mwingine hapana
lakini bwana asema hivi, nitawaponya
yeye mwenyewe aahidi, nitawabariki
mimi ni alfa na omega ayoyoyo, mwanzo na mwisho
jamani mimi ni mungu, mwingine hapana
ehehehe
nirudieni mimi niwasamehe, nasema geukeni sasa niwaponye 7x (interchangeably)
nirudieni makahaba nirudieni na waongo eh nasema
mimi mungu niponyae tena mimi naokoa oh nasema
chukueni nira yangu nira yangu ni laini mzigo w+ngu ni mwepesi (mwepesi)
haiyayayayah
chukueni nira yangu nira yangu ni laini mzigo w+ngu ni mwepesi (mwepesi)
mwisho
Random Lyrics
- 3n! & tugi ndichu - slow burning. lyrics
- trench mafia locco - kāds nomira lyrics
- filah lah lah - ready lyrics
- die schule der magischen tiere - ich bin ein star lyrics
- la vida bohème - ¡coño! lyrics
- josh bogert - asking for a friend lyrics
- tede & dj macu - co się stało szieea? lyrics
- wave beats (eg) - no time lyrics
- jozie haze - ##leechlife (bonus track) lyrics
- srpska izvorna narodna pesma - banjala se jadrenka devojka lyrics