sabah salum - acha wee taarab lyrics
acha wee taarab lyrics
utapanda na kushuka na watu kunitumia
utapanda na kushuka na watu kunitumia
bure utafedheheka na aibu kujitia
bure utafedheheka na aibu kujitia
najuwa najuwa unanitaka moyoni
moyoni unaumia
najuwa najuwa unanitaka moyoni
moyoni unaumia
ukweli w+ngu hakika
ukweli w+ngu hakika
ukweli w+ngu hakika
wewe hujanivutia
acha wee acha wee acha wee
suti gani nazo za kuazimisha
acha wee acha wee acha wee
nayako mabobish yananichekesha
acha wee acha wee acha wee
huishi mitaani unajitakisha
acha wee acha wee acha wee
akutake nani k+mkorofisha
unakoroga najua, nawatu wameshakushuku
unakoroga najua, nawatu wameshakushuku
bure unajisumbua, kujivunjia sharafu
bure unajisumbua, kujivunjia sharafu
yuko yuko anaeniuwa
mwenye mwenye njema insafu
aaah yuko yuko anaeniuwa
mwenye mwenye njema insafu
roho anaenitoa
roho anaenitoa
roho anaenitoa
roho anaenitoa
kwake yeye hufui dafu
acha wee acha wee acha wee
suti gani nazo za kuazimisha
acha wee acha wee acha wee
nayako mabobish yananichekesha
acha wee acha wee acha wee
huishi mitaani unajitakisha
acha wee acha wee acha wee
akutake nani k+mkorofisha
bure unajivalisha masuti yenye thamani
bure unajivalisha masuti yenye thamani
nyengine waazimisha kurandia mitaani
nyengine waazimisha kurandia mitaani
hima hima unajitakisha
asubuhi asubuhi na jioni
hima hima unajitakisha
asubuhi asubuhi na jioni
ni kachara umekwisha
ni kachara umekwisha
ni kachara umekwisha
ni kachara umekwisha
hunifai asilani
acha wee acha wee acha wee
suti gani nazo za kuazimisha
acha wee acha wee acha wee
nayako mabobish yananichekesha
acha wee acha wee acha wee
huishi mitaani unajitakisha
acha wee acha wee acha wee
akutake nani k+mkorofisha
mimi ninaemtaka sharti awe dogodogo
mimi ninaemtaka sharti awe dogodogo
anotizamika na fedha j+po kidogoo
anotizamika na fedha j+po kidogoo
huniwezi huniwezi si dhihaka
huiwezi huiwezi mititigo
usinivishe cha ukoka
usinivishe cha ukoka
usinivishe cha ukoka
usinivishe cha ukoka
kilemba bwana mdogo
acha wee acha wee acha wee
suti gani nazo za kuazimisha
acha wee acha wee acha wee
nayako mabobish yananichekesha
acha wee acha wee acha wee
huishi mitaani unajitakisha
acha wee acha wee acha wee
akutake nani k+mkorofisha
Random Lyrics
- vic chesnutt - lillian gish lyrics
- lean belly - last day lyrics
- alex cameron - oxy music lyrics
- alco - paragoni lyrics
- vli weezy - vaccine | ڤاكسين lyrics
- edina - time to time lyrics
- no8 - niemandsland lyrics
- dibujo mc - baúl lyrics
- shiawase - kyori lyrics
- sayan (rus) - список бывших (list of former) lyrics