sabah salum - ewe mola wangu nipe moyo wa subira lyrics
ewe mola w+ngu nipe moyo wa subira + sabah salum
yaillah yaillah nipe moyo wa subira
yaillah yaillah nipe moyo wa subira
na kila lai kiraiii lipite pasi madhara
na kila lai kiraiii lipite pasi madharaa
niweze kutanabariii iwe kw+ngu m+n+suraa
niweze kutanabariii iwe kw+ngu m+n+suraa
ewe mola w+ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w+ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
aaaaaahhhhh
ooooooohhh
aaaaaaahhhhhh
aaaaaahhhhhhhhh
usubiri moyo w+ngu k+mi lililo boraa
usubiri moyo w+ngu k+mi lililo boraa
yanijiapo machungununipe njema busara
yanijiapo machungununipe njema busara
ninusuru mola w+ngu nisiwe nazo hasiraa
ninusuru mola w+ngu nisiwe nazo hasiraa
ewe mola w+ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w+ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
nayale yenye karahaa matatizo mazingiraa
nayale yenye karahaa matatizo mazingira
moyo uwe na nasahaaa na njema nyingi fikiraaa
moyo uwe na nasahaaa na njema nyingi fikiraaa
nijaalie furahaa kwako naomba stara
nijaalie furahaa kwako naomba stara
ewе mola w+ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w+ngu nipе moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
yaillah yaillah nipe moyo imara
yaillah yaillah nipe moyo imara
niweze kujinaswii isinifike idharaa
niweze kujinaswii isinifike idharaa
mola w+ngu uniwahi nguvu na zako kudura
mola w+ngu uniwahi nguvu na zako kudura
ewe mola w+ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
ewe mola w+ngu nipe moyo wa subira
ewe mola w+ngu nisitiri mja wakoo
Random Lyrics
- behan the scene - untitled 2-7-23 lyrics
- arianne schreiber - m10_nakanishi_arianne lyrics
- mukeka di rato - gaiola lyrics
- lil ugly mane - flaunt the gift lyrics
- ciscaux - anything at all lyrics
- vacío - тупая пизда* lyrics
- alonelyness - under the moon lyrics
- dajak - infini lyrics
- finesse2tymes - if you still wit me (chopnotslop remix) lyrics
- bush lv - mierīgā garā lyrics