sabah salum - nenda ukaliwe pesa lyrics
nenda ukaliwe pesa lyrics
liiii laliil llalala ohoooo
liiii lailii lalala oohhoooo
oooohhhh aaaaahaa
ayeeeeeee tumeishi siku nyingi
tumeishi siku nyingi katu sijakupa tabu
ayeeeeeeeee utanitaje shangingi
utaniitaje shangingi yajaje hayo muhibu
ayeeeeeee tumeishi siku nyingi
tumeishi siku nyingi katu sijakupa tabu
ayeeeeeeeee utanitaje shangingi
utaniitaje shangingi yajaje hayo muhibu
si mtu wa vigenge wala wauvu swahibu
si mtu wa vigenge wala wauvu swahibu
usinisemeshe usinisemeshe mengi
tukatiana tukatiana aibu
usinisemeshe usinisemeshe mengi
tukatiana tukatiana aibu
usinisemeshe usinisemeshe mengi
tukatiana tukatiana aibu
usinisemeshe usinisemeshe mengi
tukatiana tukatiana aibu
madhali madhali sijakukosa
wala wala sijishughulishi
madhali madhali sijakukosa
wala wala sijishughulishi
nenda uka nenda ukaliwe pesa
wala warembo wala warembo huweshi
nenda uka nenda ukaliwe pesa
wala warembo wala warembo huweshi
liiii laliil llalala ohoooo
liiii lailii lalala oohhoooo
liiii laliil llalala ohoooo
liiii lailii lalala oohhoooo
ayeeeeee sinilete vurugu
sinilete vurugu mimi ni mstaarabu
ayeeeeee sitoki kwenye magugu
sitoki kwenye magugu wala kwetu sina tabu
ayeeeeee sinilete vurugu
sinilete vurugu mimi ni mstaarabu
ayeeeeee sitoki kwenye magugu
sitoki kwenye magugu wala kwetu sina tabu
kwa kadiru yake mungu pendo kwisha si ajabu
na kadiru yake mungu pendo kwisha si ajabu
mola ata mola atanipa w+ngu
wakulishana wakulishana zabibu
mola ata mola atanipa w+ngu
wakulishana wakulishana zabibu
mola ata mola atanipa w+ngu
wakulishana wakulishana zabibu
mola ata mola atanipa w+ngu
wakulishana wakulishana zabibu
madhali madhali sijakukosa
wala wala sijishughulishi
madhali madhali sijakukosa
wala wala sijishughulishi
nenda uka nenda ukaliwe pesa
wala warembo wala warembo huweshi
nenda uka nenda ukaliwe pesa
wala warembo wala warembo huweshi
liiii laliil llalala ohoooo
liiii lailii lalala oohhoooo
liiii laliil llalala ohoooo
liiii lailii lalala oohhoooo
ayeeeee sipiti nikatangaza
sipiti nikatangaza usikhofu mahabubu
ayeeeeeeee kwa utuli sitoweza
kwa utuli sitoweza na wala sitojaribu
ayeeeee sipiti nikatangaza
sipiti nikatangaza usikhofu mahabubu
ayeeeeeeee kwa utuli sitoweza
kwa utuli sitoweza na wala sitojaribu
njia nyeupe kabisa nendaa kwa huyo kizushi
njia nyeupe kabisa nendaa kwa huyo kizushi
vyovyote wewe vyovyote wewe wa kwanza
kukuheshimu kukuheshimu wajibu
vyovyote wewe vyovyote wewe wa kwanza
kukuheshimu kukuheshimu wajibu
vyovyote wewe vyovyote wewe wa kwanza
kukuheshimu kukuheshimu wajibu
yote uliyonifanza, namuachia wahabu
vyovyote wewe wa kwanza, kukuheshimu wajibu
madhali madhali sijakukosa
wala wala sijishughulishi
madhali madhali sijakukosa
wala wala sijishughulishi
nenda uka nenda ukaliwe pesa
wala warembo wala warembo huweshi
nenda uka nenda ukaliwe pesa
wala warembo wala warembo huweshi
Random Lyrics
- jaycee eazy - wdbg? (feat. payn777) lyrics
- zona48, eddy, lil dsour, valèki, mitra - gra lyrics
- bageerov - письмо без слов (letter without words) lyrics
- future & lil uzi vert - would you lyrics
- essential music group emg - amateur lyrics
- srtw & nourii - 7th heaven lyrics
- offsite - break up song lyrics
- passion - 1,000 names (live from lyrics
- the heavy hours - wasting all our time lyrics
- skummeltider - horror musikk lyrics