sabah salum - niacheni nijivune lyrics
niacheni nijivune by sabah salum
imeandikwa na baraka b mkande
niacheni nijivune huu ni wakati waangu
achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu
niacheni nijivune huu ni wakati waangu
achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu
sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
nimemshika imaraa kufurkuta hawezii
nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi
nimemshika imaraa kufurkuta hawezii
nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi
hapati la k+mkeraa nampa mema malezii
hapatii la k+mkera na mpa mema malezii
hapati la k+mkeeraa nampa mema malezii
hapatii la k+mkera na mpa mema malezii
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
ohhoooo hh mhhhhhh
mnanichukia buree kupendwa ni damu yanguu
mutavimba mujikeree naringa na sawa yaangu
mnanichukia buree kupendwa ni damu yanguu
mutavimba mujikeree naringa na sawa yaangu
mtakufa kwa kiheree alienipa ni mungu
mtakufa kwa kihere alie nipa ni munguu
mtakufa kwa kiheree alienipa ni mungu
mtakufa kwa kihere alie nipa ni munguu
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
ohhoooo hh mhhhhhh
pendo letu hili gumu wenyewe tunalienzii
mwataka kulihujumuu pendo life kipuuzi
pendo letu hili gumu wenyewe tunalienzii
mwataka kulihujumuu pendo life kipuuzi
bure mtajipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
bure mta jipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
bure mtajipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
bure mta jipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
hey hey
chezea nzanibar one we
wa toto wa mc nuhu
wanamuita mariamu juma
sambamba na fatuma jaku
pamoja na mama lao
sabaha mwiichacho
aah raha hizi tamu zinapatikana
channel ya baraka b mkande
siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika
waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa
minasema kwa hakika nampenda kweli kweli
huyu anipagawisha amneirusha akili
mnaotakaniachisha hapa dili limefeli
siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika
waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa
msiopenda niwe nae mbona mnajipa dhiki
baby nitadumu nae k+mbi k+mbi sibanduki
tena mnichukie wallah sibabaiki

waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaaaaaaaaa
Random Lyrics
- munya - perfect day lyrics
- flipper's guitar - the chime will ring ~やがて鐘が鳴る~ (live) lyrics
- tally koren - i am calling you lyrics
- wacko drama - tru steppaz lyrics
- kayr - trunk (freestyle) lyrics
- gov't mule - wake up dead lyrics
- ambi - venenosa lyrics
- feeble little horse - picture lyrics
- crystal kay - steady lyrics
- homeshake - feel better lyrics