sabi wu - wacha nirest lyrics
[pre+chorus]
yeah
so basi nibeg ukitaka show
si we run them bands mi husaka doh
alitaka clout, alipewa smoke
alibonga bad, alipigwa blow
niligrow up fast nikiroll alone
sa nafeel ka mars nikiblow that smoke
alitaka that, alipewa those
alitaka what? alipewa… huh
[chorus]
leo ni best na kesho ni chrome
wacha nirest manze niko broke
leo ni friend na kesho ni foe
si uwache nirest manze niko toes
leo ni best na kesho ni chrome
wacha nirest manze niko broke
leo ni friend na kesho ni foe
si uwache nirest manze niko toes, yeah
[verse 1: korb$]
lеo ni sesh na kesho ni party
anapenda chuma ka mabati
wacha nirеst wacha makali
leo ni majani mabangi
hawa wasee walai wako funny
hawa watu sasa wako na jokes (wako na jokes!!)
take him to churchill (ay)
hapa hatupendangi those (zii)
mimi sipendangi hizo walai (walai)
tell me a truth and a lie (a lie)
nitakuwa wako for life (noo)
ama nigonge nitoke goodbye (hahahaha)
g niko dry dubai
bangi ni soo niko 99 (99)
we going wild tonight
mi nitafanya tu vile nadai
[pre+chorus]
so basi nibeg ukitaka show
si we run ’em bands mi husaka doh
alitaka cloud alipewa smoke
alibonga bad alipigwa blow
niligrow up fast nikiroll alone
sa nafeel ka mars nikiblow that smoke
alitaka that, alipewa those
alitaka what? alipewa… huh
[chorus]
leo ni best na kesho ni chrome
wacha nirest manze niko broke
leo ni friend na kesho ni foe
si uwache nirest manze niko toes
leo ni best na kesho ni chrome
wacha nirest manze niko broke
leo ni friend na kesho ni foe
si uwache nirest manze niko toes, yeah
[verse 2: ouma wa mafegi]
oppy (oppy), try me try me
you don’t wanna go that road
mbogi you slime na buda sichochi
chain buda mi nishachafi (ching ching)
finna get lit up ka we ni tochi yoh
finna get lit up
finna get lit up ka we ni nare
octo bado alidai kuisare
cheza ka wewe cheza ka trio (trio)
si hukata waba ka moses
si ni mabazuu cutting all losses (yap)
kilimani local bosses (yap yap yap yap), you are a crack head
what are those noises? (noises)
bro come and get your mistress
ssup with the gang we don’t need this guyses (up up up up)
sana up we don’t need this guyses yoh
mtatutii drip inakaa overseas
lakini ni plug nimepata eastleigh
cozy boy drip it’s me on g
scopping that block my guys on me (yap yap yap yap)
brown eye big b+tty girly on me
joker really tryna get a feature for free
joke ting n+gga don’t play with me
[pre+chorus]
so basi nibeg ukitaka show
si we run them bands mi husaka doh
alitaka cloud alipewa smoke
alibonga bad alipigwa blow
niligrow up fast nikiroll alone
sa nafeel ka mars nikiblow that smoke
alitaka that, alipewa those
alitaka what? alipewa… huh
[chorus]
leo ni best na kesho ni chrome
wacha nirest manze niko broke
leo ni friend na kesho ni foe
si uwache nirest manze niko toes
leo ni best na kesho ni chrome
wacha nirest manze niko broke
leo ni friend na kesho ni foe
si uwache nirest manze niko toes, yeah
Random Lyrics
- reid brody - my return lyrics
- niya elan - day 'n night lyrics
- youngboy never broke again - slime tunes lyrics
- kero (ita) - povero lyrics
- needless - deceit lyrics
- blond (swe) - i pick up the bus lyrics
- נורית גלרון - ophelia - אופליה - nurit galron lyrics
- kuraxkura - operation litesaberz (intro) lyrics
- karpiz - manualas lyrics
- ricky star - nghỉ đón tết?! lyrics