sadim mavoice - for love lyrics
lyrics
tulipotoka pametukoma
mpaka leo tupo hapa we never go down yeah
we just go and make harder
nakama haujui trust me dunia itakushangaza
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
niache nikope mimi
niogope nini mimi
wakati sina mimi walikaa mbali
siteseki mimi
naishi navyopenda mimi
wanashangaa kwanini sina kitu ila niko na looovee
i do for the love
i do for the vibe
no matter what happenx2
i do for the love as you know ×2
hatuna pesa kama wao
ila furaha tulionayo
tunawazidi mpaka wao
hatutamani kuwa wao
tunajua maisha yao
tuna kwetu sio kwao
tuna kwetu sio kwao kwao
chorus
weooooo weooooo
oweoooooo oweoooox2
Random Lyrics
- zapho - tell your mother lyrics
- young freezy - богема (bogema) lyrics
- kef lavík - frá munkafingrum í innri eyrun mín lyrics
- insolent myth/tsbts - dirty little slut lyrics
- kollegah - "das zeitalter des hänsel" freetype lyrics
- the sad sinner - sri lanka feat. lucïd (intro) lyrics
- sdott1500 - no filter lyrics
- bloodz boi, claire rousay & more eaze - overcast / 阴天 lyrics
- bloodz boi, claire rousay & more eaze - the lighter / 打火机 lyrics
- zombie butterfly - multimediamongool lyrics