sadim mavoice - nimepatikana lyrics
verse 1
nimeificha hii siri
naomba niwaambie
kuna jambo liko hapa
ngoja niwahadithie
mapenzi mapenzi (haha)
ngoja ncheke mie
sikudhani kwamba
ningekuja penda mie
mwenzenu nilikuwaga mbishi
mapenzi sikuyapa nafasi
leo kanikalisha kwa kiti
eeeeeh,,sijielewii
kanifundisha kupenda kwa dhati
nimuombe nikiitaka haki
nishukuru akinihonga laki
siku nyingine anigeee
naiona sababu
kwanini nilichelewa kupenda
kanishikisha adabu
siwezi k+mpinga aaah eeh chori chori chupke chupke sambusa kachoriiii
chorus
oyaaaa weee mwenzako nimepatikana oyaaaa weeee nimsshikwa moyo na bandama oyaaa weeee nimeshiba utamu wa nyama nyama oyaaaa weeeee mpaka sasa si tumeshibana…
verse 2
kile kibaridi cha asubuhi, ananik+mbatia
mwili wake joto hata hapungui ananiongezea
sina mashaka na penzi hili
amenipatia
yeye ni fundi mtunga mashahiri vinyimbo akiniimbia oooh
chori chori chupkе chupke
sambusa kachori na vichipsi chipsi
penzi lishavuka tayari
liko katikati
situmii lugha kaliii
namchapa kwa noti
Random Lyrics
- 8blevrai - salam alaykum lyrics
- premorbid - ребенок и демоны (child and demons) lyrics
- sidzej x comi x lucko - clock ⏰ lyrics
- kanga - last drive lyrics
- zalmad - foreign lyrics
- fox aurora - sweater theft lyrics
- 2friendzonline - s i m p lyrics
- эмпи (empy) - где твои крылья? (where are your wings?) lyrics
- hooligan chase - nick nolte's mugshot lyrics
- paper anthem - malus lyrics