azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sadimu mavoice - mwambie lyrics

Loading...

mmmmh mh aaaah ahh

verse 1
mwambie mama bado namk+mbukaga
na ile kazi alonipa nimesha imalizaga
asione kimya aah maana hata vocha nakosaga
onaaa mi bado mzima j+po home sik+muaga
mwambie…..
mwambie bado naishi buzaaa
chumba kimoja nimelipiaa
na ile pesa alokuagiza aah
nikipata tamtumia
mwambie bado nafanya muziki muziki ajuee
maisha ya daa hayatabiriki
mpaka kiki au ukisanuee

chorus

safariiiiiii nindefu sana hatujafika x2
safari hatujafika safari hatujafika
safari hatujafika ni ndefu sana hatujafika

verse 2
nimesahau nipotezaga na simu yangu
na laini pia
ukifika home tuma number ya mjomba andu
na shangazi piaa
ona kwenye mapenzi bado sijafeet
k+mpata mkweli kw+ngu ndo muziki
naimani sik+moja tashiriki
ila kuchanganya ndo staki
mwambie mwambie bado naishi buzaa
chumba kimoja nimelipia
na ile pesa alokuagiza nimipata tamtumia
mwambie bado nafanya muziki muziki ajue
maisha ya dar hayatabiriki mapaka kiki
au ukisanuee



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...