azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

safari paul - nakuinulia macho lyrics

Loading...

na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
mungu w-nguuuu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
nitayaa inua macho yangu nitazame milima
msaada w-ngu u katika bwana uliyeziumba mbingu na nchi
nitayaa inua macho yangu nitazame milima
msaada w-ngu u katika bwana uliyeziumba mbingu na nchi
nakuinuliaa
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
mungu w-nguuu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
wewe ni yote katika yote mwanzo pia na mwisho
ahadi zako ni za kweli mungu wetu haubadiliki
wewe ni yote katika yote mwanzo pia na mwisho
ahadi zako ni za kweli mungu wetu haubadiliki
nakuinulia macho
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
wewe ni baba yangu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
mungu w-nguuu
nyoosha mkono wako baba uniguse unibariki
nyoosha mapito yangu bwana jina lako libarikiwe

wewe ni msaada w-ngu
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
(wewe ni yote katika yote)
na kuinulia macho yangu na kuinulia juu
(wewe ni mungu w-ngu unanijali)
wewe ni baba yangu

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...