saldoh mascot - forever lyrics
hook (samzan)
kusema nakupenda mamy(forever)
nataka niwe wako(forever)
mimi nawe tushikane tusiachane
everyday you know baby you are mine(x2)
verse (saldoh)
baby nakupenda ukweli sitokutenda
wenda uniamini kama ni jela ndafika
watu wata cheka nabada wata choka
napenda uwenami cause i know what i mean
ombi langu kwako napenda niwe wako
maneno yangu kwako usikamate na maringo
if possible nita fungwa na mapingo
jikaze baby tu fulfil ndoto zetu
hook (samzan)
kusema nakupenda mamy(forever)
nataka niwe wako(forever)
mimi nawe tushikane tusiachane
everyday you know baby you are mine(x2)
verse (maestro)
baby nakupenda kama kwa mamy tafika
tapeleka mali kadiri ya uwezo w-ngu
endapo utakapo kwenda mimi namuomba mungu
kama vile ndoto mimi nakupenda wewe
uzuriwako mwenendo wako mimi namuomba mungu
achana na maneno ya watu isije kuwa story
nataka tushikane kama dereva na gari
mimi nakupenda siwezi kukutenda men
hook (samzan)
kusema nakupenda mamy(forever)
nataka niwe wako(forever)
mimi nawe tushikane tusiachane
everyday you know baby you are mine(x2
verse (samzan)
baby girl mimi nakupenda sana
watu wata sema minawe atuto achana
nataka niwe wako maishani mwako
kusema ukweli
i will make ndoto zako
iwe ndiwe w-nga wapamtima w-nga
ndifuna tipite tika one makolo anga
ndimulungu yeka akudziwa chikondi changa
pakati paiweyo ndi ineyo zanga
hook (samzan)
kusema nakupenda mamy(forever)
nataka niwe wako(forever)
mimi nawe tushikane tusiachane
everyday you know baby you are mine….
Random Lyrics
- a traitor like judas - to the wolves lyrics
- scarlett johansson - yesterday is here lyrics
- yung nnelg - blessings lyrics
- satica - you are here lyrics
- géminis - creactivos lyrics
- aaawaria - patoprzewodnik lyrics
- i prevail - gasoline lyrics
- stackman334 - jump lyrics
- pincet - только один (only one) lyrics
- souad massi سعاد ماسي - ya kelbi | يا قلبي lyrics