salmin swaggz - dope (freestyle) lyrics
Loading...
we are…
yeah i said that we are
hii ni goodnation, k!ll wanaobisha
na nimemechisha, all black everything
black car, black her, all black everything
n-gga you can’t tell a thing, unahitaji malafin
nahisi una malaria thing, i’m general aladin
hili game nimelipuna now limelala chini
siko shame nimelichuna li kwenye lala bin
wamekurubuni mpaka shule umeshafeli
sio kejeli let me tell uliona heri
kuona watu wanavyokuita makaveli
hey marry tell terry you no longer hail mary
you’re 15 now i’m sorry for you cherry
naona wako wengi sana
watu wanakuja na mangoma mengi sana
rhymes zinavuja wamechuja mexicana
na mi ndo nakuja maana nlishasema since jana
i’m dope
Random Lyrics
- rockabye baby! - lateralus lyrics
- myazwe - rather me (around here, pt. 2) lyrics
- ja-bar - burn it down lyrics
- hotel paradisio - moto lyrics
- mr. cool guy producer guy - tickerhandy lyrics
- billionaire burke - had too lyrics
- twisted destiny - let's play lyrics
- rohit john chettri - jani jani lyrics
- king los - like me lyrics
- dalenlegandofficial - devotion lyrics