salmin swaggz - ola lyrics
[intro]
yeah yeah, i don’t wanna be with you, no more
[verse 1: salmin swaggz]
listen baby i ain’t trynna be crazy
najua unapenda nyumba za masaki na mbezi
najua unataka vingi kw-ngu zaidi ya mapenzi
kwa maana hata ma-ex wamenizidi unyamwezi
na siwezi kubishana nikaanza makuu tena
hatuwezi kushindana ka ukianza kwa kunisema
maneno yamenishinda umenioverdose
au sababu siku hizi unawindwa na hao matoz
maybe i’m so silly na makosa nimekiri
mashoga zako ni dili ila kama utanifkiria pia
k-mbuka hili, mi na we tuko wawili
mark x toleo la pili mwanao mi nimefulia so listen
[chorus: mimi mars]
ola, ola, ooh
kama nakuona unavyonikosa
ola, ola, ooh
mapenzi ya maneno yamenichosha
aka babu wee, aka babu wee
aka babu wee, aka babu wee
[verse 2: salmin swaggz]
so naweza sema, penzi limefanya niote mizizi
na ukinuna tu unafanya niote kichizi
haya mapenzi ya kifilipino siigizi
mpaka mama anasema umenipa kizizi
kwenye hii zizi
mi nasema hamna berna, hamna wema nishafunga sioni tena
na usiniache kwa sababu ya kipato
siku utajua kwamba mi ndo wa ukweli kwako
yeah, i’ll be doing everything, yes
sitaki hata kuchat na demu ukanipa kesi
sitaki hata kusimama tu mahali itakua tetesi
ntakuandikia nyimbo kali hata akina c-ssper nyovest watajua tu
[chorus: mimi mars]
ola, ola, ooh
kama nakuona unavyonikosa
ola, ola, ooh
mapenzi ya maneno yamenichosha
aka babu wee, aka babu wee
aka babu wee, aka babu wee
[bridge]
nak-mwaga, nak-mimina
wacha nivunje mifupa na meno bado ipo
nak-mwaga, nak-mimina
[chorus: mimi mars]
ola, ola, ooh
kama nakuona unavyonikosa
ola, ola, ooh
mapenzi ya maneno yamenichosha
aka babu wee, aka babu wee
aka babu wee, aka babu wee
Random Lyrics
- juzo - haven lyrics
- rasmus seebach - hvordan synes du selv det går lyrics
- opt la estresha - modelos de la tele lyrics
- the baseballs - daylight in your eyes lyrics
- silent prophet - leda lyrics
- saint - terror in the sky lyrics
- stahlmann - friss mich lyrics
- jul - petit frère lyrics
- nazar - claude monet lyrics
- chickn - elevational love of frank zappa lyrics