sanaipei tande - najuta lyrics
ntalalaaa oohh
najuta oohh
najuta, mimi najuta
najuta, mimi najuta
najuta, mimi najuta (ooohhhh yea yea yea yeah)
najuta, mimi najuta
nilitega sikio mtaani kasikiza za wasengenyaji
eti yeye na yule wana uchumbaji
bila hata kujali
au kuuliza maswali
niliyaamini maneno nikamuaga kwaheri
miezi ni kadhaa ah ah
nami nalia ah ah
ningemrudia ah ah
lakini nna tatizo ooh
ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
ntamwelezaje eti bila yeye naugua
ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
kukosana naye ooh kutengana naye
kuachana naye ooh mimi najuta
kukosana naye ooh kutengana naye
kuachana naye ooh mimi najuta
nilifunga virago vyangu vyote
kuamua sitorudi kamwe
kwani yeye na yule walinifadhaisha
lakini kila wasaa
napata nikimwaza
ningeyapuuza maneno tungeishi kwa raha
miezi ni kadhaa ah ah
nami nalia ah ah
ningemrudia aha
lakini nna tatizo ooh
ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
ntamwelezaje eti bila yeye naugua
ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
kukosana naye ooh kutengana naye
kuachana naye ooh mimi najuta
kukosana naye ooh kutengana naye
kuachana naye ooh mimi najuta
nnaye anipendaye
na anifaaye
lakini hata afanyeje
halingani nawe
naomba msamaha
kwa kukukosea
wengi watasema
usiku watalala oohh
najuta, mimi najuta
najuta, mimi najuta
najuta, mimi najuta
najuta, oohh
ntamwambiaje eti kuwa miye nampeza
ntamwelezaje eti bila yeye naugua
ntamjulishaje kuwa roho yangu yaumia
ntamwambiaje eh kuwa mimiye najuta
kukosana naye ooh kutengana naye
kuachana naye ooh mimi najuta
kukosana naye ooh kutengana naye
kuachana naye ooh mimi najuta
najuta, najuta
juta, juta
yeah, yeah
Random Lyrics
- 春ねむり (haru nemuri) - kick in the world (déconstructed) lyrics
- st. pedro - te compartía lyrics
- mastercgplat - naughty lyrics
- jhonaz - colors (versión español) lyrics
- dreamdoll - ice cream dream lyrics
- billy crockett - outta my mind lyrics
- mike tompkins - p.y.t (pretty young thing) lyrics
- burnout macgyver - down here lyrics
- trb baby - trb baby x fumez the engineer - plugged in lyrics
- gucci mane - gucci intro (ferrari music) lyrics