azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sanchez won - generation ya foreign lyrics

Loading...

[verse 1]

kwa streets na make dooh
na pia na save some
kwa team na break bread
with my n+gga sam
huku shida ni zakayo
majuu ni uncle sam
lyrically am ill
ingia shazam
the truth hurts
ju wakiambiwa wanajam
na ka unaniaminia
we ni fan
ka unanichukia
don’t be dumb
streets zikona wenyewe
wacha kucap
na raise the bar high
naeka umo kwa map
si ni mamode
kwa class ya rap
na after biz
ni pesa pap
sipendi hype
so navaa jersey ya man u
ya sharp
hii life ni marathon
so daily niko malap
go getter from the jump
na kismart najua ikifikia arif
ataclap
official in real life
na pia kwa whatsapp
si give a f+ck
na go hard
usiniadvice am not your son
lfs boys
and we gon last
sai tuko poa
si ka maisha ya past
the goal ni kusecure the bag
[hook]

ni generation ya maforeign
kuna wale wa
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
na kuna wale wa
indica sativa
indica sativa
indica sativa
indica sativa
indica sativa
indica sativa

[verse 2]

nimejipanga na life
ka msee ako 30
moves zangu
walidhani ni utani
sai nikona namba ya rubani
biz tunaifanya nairobi
ama mombasani
kudrip ni kama dasani
kwa rap game tuko ndani
jeans ni evisu na ni baggy
mwafrika kamili na vako za kilami
akili ni nywele na nimechill na mnatty
na hustle tuende umo na kawasaki
nikishoot shot yangu walai sihati
safari ya kuomoka ndio hii
ingia kwa basi
hii ni trip ya wajanja
chunga usikose nafasi
hatuwezi sahau magen z
na wale wako kambi
siku ikiisha vipoa naweza washa
kidurban kimalawi ama kiswazi
[hook]

ni generation ya maforeign
kuna wale wa
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
benzo na beamer
na kuna wale wa
indica sativa
indica sativa
indica sativa
indica sativa
indica sativa
indica sativa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...